Mwalimu Benard Otieno (@baraka_benard1) 's Twitter Profile
Mwalimu Benard Otieno

@baraka_benard1

Singer

ID: 1327275466873565184

calendar_today13-11-2020 15:42:38

48 Tweet

33 Takipçi

48 Takip Edilen

Mwalimu Benard Otieno (@baraka_benard1) 's Twitter Profile Photo

Mwenye nguvu zote. MUNGU-Mwanzo 17:1, Yeremiah 32:17, Mathayo 19:26. YESU-Mathayo 28:18, Waebrania 1:3, Ufunuo 1:8 #YesuMungu #YesuNdiyeNjia

Mwalimu Benard Otieno (@baraka_benard1) 's Twitter Profile Photo

Hatua ya kwanza ya kumaliza shida hizi ni kuleta uwiano (restoration) kati ya Mungu na mwanadamu na kukua na uhusiano mzuri. #YesuMungu #YesuNdiyeNjia

Mwalimu Benard Otieno (@baraka_benard1) 's Twitter Profile Photo

Watu ambao hawajatubu dhambi zao na kukubali Kristo kama bwana na mwokozi wa maisha yao ni maadui wa Mungu na wamekufa kiroho. #YesuMungu #YesuNdiyeNjia

Mwalimu Benard Otieno (@baraka_benard1) 's Twitter Profile Photo

Hivi Leo Kuna sarakasi nyingi sana Katika baadhi ya hao wanaojiita watumishi. Ungana nasi kwenye kipindi Cha Yesu Ndiye Njia 8-10pm. 2 Peter 2:1-3

Hivi Leo Kuna sarakasi nyingi sana Katika baadhi ya hao wanaojiita watumishi. Ungana nasi kwenye kipindi Cha Yesu Ndiye Njia 8-10pm. 2 Peter 2:1-3