Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profileg
Moyo wa TAIFA ™️

@bajabiri

💥Operation Manager BajabirLogistics|
💥Street SOUL|JUST FIT STORES' BRAND AMBASSADOR & Marketing Manager|M/kiti Chama Cha Wanafki 😀

ID:861700170

calendar_today04-10-2012 16:55:59

689,6K Tweets

413,6K Followers

41,3K Following

Boniface Jacob(@ExMayorUbungo) 's Twitter Profile Photo

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA

Anaitwa Lilenga Isaya Lilenga ni mkazi wa Kigoma,Mwandiga

Bwana Lilenga alikamatwa siku ya Jumamosi ya tarehe 11 -05 -2024 akiwa maeneo ya Kibirizi,Kigoma.akitokea katika shughuli zake za uvuvi.

Alikamatwa kwa mtindo wa Kutekwa na gari nyeusi

AMEPOTEA AMEPOTEA AMEPOTEA Anaitwa Lilenga Isaya Lilenga ni mkazi wa Kigoma,Mwandiga Bwana Lilenga alikamatwa siku ya Jumamosi ya tarehe 11 -05 -2024 akiwa maeneo ya Kibirizi,Kigoma.akitokea katika shughuli zake za uvuvi. Alikamatwa kwa mtindo wa Kutekwa na gari nyeusi
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama wilayani Ulanga kutosita kuchukua hatua kali kwa wafugaji watakaobainika kuingiza mifugo yao kwa makusudi katika mashamba ya wakulima na kuwasababishia hasara.

Akizungumza na wananchi wa kata ya

account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Watu 138 katika Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Mkoani Mara wameambukizwa Virusi Vya UKIMWI katika kipindi cha January hadi Machi 2024 kutokana na uwepo wa wimbi kubwa la ‘dada poa’ katika halmashauri hiyo.

Kauli hiyo imeibuka katika kikao cha baraza la madiwani robo ya mwaka

Watu 138 katika Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Mkoani Mara wameambukizwa Virusi Vya UKIMWI katika kipindi cha January hadi Machi 2024 kutokana na uwepo wa wimbi kubwa la ‘dada poa’ katika halmashauri hiyo. Kauli hiyo imeibuka katika kikao cha baraza la madiwani robo ya mwaka
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

BAADA YA LIGI KUISHA !!

Unaambiwa baada ya Ligi Kuu kuisha ‘’THANK YOU ‘’ zitakuwa nyingi sana

Nani na nani watapewa ‘’THANK YOU’’

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linaendelea kutumia mifumo ya Tehama katika kudhibiti makosa ya usalama Barabarani ambapo Jeshi hilo limebainisha kuwa kupitia mfumo huo Mei 27 muda wa alfajiri limewabaini madereva watatu ambao wamevunja sheria za usalama Barabarani.

account_circle
#ElimikaWikiendi(@ElimikaWikiendi) 's Twitter Profile Photo

Jumatatu pamoja na kazi nyingi usiache kusoma hapa,

UZI wa Theresia Chaki 'Umuhimu wa vijana kukutana na wanasaikolojia ili kupata ushauri juu ya afya ya akili' x.com/theresia_chaki…

Jumatatu pamoja na kazi nyingi usiache kusoma hapa, UZI wa @theresia_chaki 'Umuhimu wa vijana kukutana na wanasaikolojia ili kupata ushauri juu ya afya ya akili' #ElimikaWikiendi x.com/theresia_chaki…
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Jumuia ya Kikristo .Tanzania (CCT) Mkoa wa Kigoma imekabidhi tuzo maalum ya kutambua kazi nzuri inayofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye katika kuhakikisha wananchi wanapata maendeleo pamoja na kusimamia amani, umoja na mshikamano mkoani hapo.

Akizungumza mara

Jumuia ya Kikristo .Tanzania (CCT) Mkoa wa Kigoma imekabidhi tuzo maalum ya kutambua kazi nzuri inayofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye katika kuhakikisha wananchi wanapata maendeleo pamoja na kusimamia amani, umoja na mshikamano mkoani hapo. Akizungumza mara
account_circle