
Meddy Semedo
@badmansemedo
Comfortable Air Condition and Service.
Content creator/
Yanga and Arsenal Fans
ID: 1769029917428023296
16-03-2024 15:57:17
820 Tweet
276 Takipçi
850 Takip Edilen





ProsperNow. Bora ni kuwa Mwanaume ambaye unajiheshimu na kutambua Thamani yako hivyo ni ngumu kuvumilia dharau yoyote kutoka kuwa Mwanamke Opposite ya kuwa Nice Guy sio kuwa jerk . Kuwa na standards zako jijali na utambue thamani yako inaanzia kwako Kuwa malaya kwa Mwanaume sio wazo

Latto 𝕏 #GWIJI🔴 Zee la Vyeti (PhD) Balyx Dullah_theKing🎧 Miss Chelsea1221 Dah nipo wapi Wazee ndo kwanza najua leo kuwa Hamisa alizaa na majizo aiseee. Sasa sijuhi nijiite mshamba au Nipo bussy na life style langu.


ISAACK LAWA PAGE ZITATU Muhimu kaka. NDOA" ni Neno lenye Upendo ukiongeza Neno Moja inakuwa NDOANO" Nina Washikaji kitaa Walioa Wakaacha Hadi leo ukienda kuwafata serious Wanakwambia Uhalisia wa NDOA" Kama Kijana Unatakiwa Ujue Umuhimu Kwanza Mwenyewe. Ukiingia kwenye mihemko unakuwa kama awa



Fumbo Khan Uhakika unachosema kuna Wana wataleta hoja ila ukweri mtupu huu. katika mazingira yaliyo kuzunguka angalia Washikaji waliooa katika hilo lika. wamedumu au kama jamaa yupo na mke wake nenda kamfate uchukue mawazo utaona atakavyo kwambia. Kuna vitu ni serious Learn or Perish

@0101DUBU Kanyambo_ @allybich's son 🇹🇿 Ambele Young Willy Kaji KilwaFinest LOCHO L E G E N D ℠ Sijaelewa unaomba ushauri wa nini.? Umuoe au asifokee Wazazi wake.? huo ujinga Toa Nampenda na Ananipenda we una uhakika kama anakupenda. Kama anashindwa kuheshimu Wazazi wake una uhakika utapata Heshima.? Au umepagawa na ukishua wake. Tumia kichwa cha juu kufikilia.




🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 Nisikilizeni kwa utulivu, si kwa jazba wala shari, Dini ni taa ya roho, demokrasia ni taa ya jamii, Ukizima moja, giza linazidi upande wowote wa njia. Mkiiacha dini, mioyo itapoa, haki itachanganywa na tamaa, Mkifuata demokrasia bila maadili, sheria zitawaumiza wenyewe,

ProsperNow. Ukielewa anacho maanisha MPANDA FINNEST Wala upati tabu na kuumiza kichwa. Mwanaume siku zote simamia Misimamo Yako. Usiwe mtu wa kupangiwa na kupelekeshwa. Kuna Wamba wapo katika MAHUSIANO lakini Wanawake ndo wanapanga Ratiba za kugoshana ni UZEMBE.


