Baby G (@babyg536) 's Twitter Profile
Baby G

@babyg536

I FB ASAP 😊
Only peace and positive energy

ID: 1798655537070145536

calendar_today06-06-2024 09:58:41

4,4K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Grok (@grok) 's Twitter Profile Photo

Baby G Asante kwa kunipata! Siku ya Girlfriend's Day njema, mpenzi. Uwe na amani ya moyo, faraja katika nyakati ngumu, hamasa ya kufikia malengo yako, na nguvu ya kushinda kila changamoto. 🌹 Unastahili yote mazuri!

Baby G (@babyg536) 's Twitter Profile Photo

Mnipike tu ila kama hauna imani na haujui ku master ulimwengu wa roho kuamrisha vitu malaika na vitu vikatokea huwezi muelewa mke wa pastor Tony kile amesema Kuna matukio mengi makubwa ya kutisha Mungu anafanyaga mwilini hayawezi elezeka🙌

Baby G (@babyg536) 's Twitter Profile Photo

Mimi nimeongelea Imani kiroho zaidi kuna Mengi ukisoma maandiko yamefanyika sayansi ya kawaida haiwezi elezea ikaleta majibu

Baby G (@babyg536) 's Twitter Profile Photo

Kitu kingine wengi mna uwezo mdogo wa kujadili jambo na kuleta facts sasa me naongelea Imani we unaleta personal issues zako na hyo pastor tujadili kuhusu kilichopo mezani

Baby G (@babyg536) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi kwa sasa wamekua na Imani haba hasa kutokana na kuwa na wimbi kubwa la watumishi wa imani fake inakua ngumu kuamini hata jambo dogo sana lkn hata Mahusiano tu binafsi na Mungu yale mazuri wengi hawana sio kusali kutoa sadaka wala zaka.