LastBorn (@babakauthary) 's Twitter Profile
LastBorn

@babakauthary

@simbasportsclub fans & @RealMadrid.

ID: 1672923828589150208

calendar_today25-06-2023 11:05:26

5,5K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

LastBorn (@babakauthary) 's Twitter Profile Photo

Yaaan mashabiki wa Young Africans SC wanatakiwa wasali saaana endapo Almasir akitolewa na Simba lupaso wao ndio watakaoteseka na midomo ya wanasimba 🤣🤣🤣

Yaaan mashabiki wa <a href="/YoungAfricansSC/">Young Africans SC</a>  wanatakiwa wasali saaana endapo  Almasir akitolewa na Simba lupaso wao ndio watakaoteseka na midomo ya wanasimba 🤣🤣🤣
LastBorn (@babakauthary) 's Twitter Profile Photo

Watu wa mwanza hali n mbaya daraja la MKUYUNI wanafunzi washindwa kwenda shule daladala hazipiti kwakifupo viongozi wa tz hamna mwingilianao wa watu wanaotoka buhongwa na mjini

Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

📈 Tumepanda hadi nafasi ya nne kwa ubora wa vilabu barani Afrika kufuatia kuongeza alama ambazo tumezipata baada kutinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. #WenyeNchi #NguvuMoja

📈 Tumepanda hadi nafasi ya nne kwa ubora wa vilabu barani Afrika kufuatia kuongeza alama ambazo tumezipata baada kutinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. #WenyeNchi #NguvuMoja
LastBorn (@babakauthary) 's Twitter Profile Photo

Alhamdulillah kimekucha Twendeni tukapambanie tulipo ishia jana sisi hatuna vya kurith zaid ya majina ya ukooo #GoodMorningTwitterWorld

LastBorn (@babakauthary) 's Twitter Profile Photo

Alhamdulillah.. tangu nime zaliwa ndio first time kuiona Simba Sports Club inaingia #SemiFinals Hadi #final More than 80% tulio wengi ndio mara ya kwanza🔥🔥🔥🔥🔥

Alhamdulillah.. tangu nime zaliwa ndio first time kuiona <a href="/SimbaSCTanzania/">Simba Sports Club</a>  inaingia #SemiFinals Hadi #final 
More than 80% tulio wengi ndio mara ya kwanza🔥🔥🔥🔥🔥
SportsArenaTz (@sportsarenatztz) 's Twitter Profile Photo

So RS Berkane already knows the final will be played in Zanzibar before any official word from CAF? This isn’t just suspicious, it’s embarrassing. Is CAF being influenced behind closed doors? African football deserves better. CAF_Online TotalEnergies CAFCL & CAFCC 🏆 #CAFCCFinal

So RS Berkane already knows the final will be played in Zanzibar before any official word from CAF?

This isn’t just suspicious, it’s embarrassing. Is CAF being influenced behind closed doors?

African football deserves better.
<a href="/CAF_Online/">CAF_Online</a> <a href="/CAFCLCC/">TotalEnergies CAFCL & CAFCC 🏆</a> #CAFCCFinal
Barbara Gonzalez (@bvrbvra) 's Twitter Profile Photo

🦁 Tusikubali kushindwa kirahisi! Kuna kazi kubwa zaidi ya kufanya kwenye mechi ya marudiano! REMONTADA inawezekana 🙏🏽 #NguvuMoja