ben_store255 (@b_store255) 's Twitter Profile
ben_store255

@b_store255

🌍 worldwide brands
✈️ fast delivery inside Tanzania and outside
📸 Tag us to be featured
☎️ whtssup 0742888860
🤝 hardware and shoes ( wholesale)

ID: 1802264550412038144

calendar_today16-06-2024 08:59:08

913 Tweet

397 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

WEEKEND AFYA TIPS REPOST & BOOKMARK🥕🍏. Maziwa 🥛→ Hamu ya Tendo la ndoa. Almonds & Karanga 🥜 → Testosterone. Vitunguu saumu 🧄 → Sumu mwilini. Maji💦 → Kwa Ajili ya Figo! Mayai 🥚→ Kwa Ajili ya Ubongo 🧠! Carrots🥕 → Kwa Ajili ya Macho! Nanasi 🍍→ Kwa Ajili ya

WEEKEND AFYA TIPS  REPOST & BOOKMARK🥕🍏.

Maziwa 🥛→ Hamu ya Tendo la ndoa.

Almonds & Karanga 🥜 → Testosterone.

Vitunguu saumu 🧄 → Sumu mwilini.

Maji💦 → Kwa Ajili ya Figo!

Mayai 🥚→ Kwa Ajili ya Ubongo 🧠!

Carrots🥕 → Kwa Ajili ya Macho!

Nanasi 🍍→ Kwa Ajili ya
ben_store255 (@b_store255) 's Twitter Profile Photo

Imagine one day Tanzania tunafikia huku?🙌🔥. Hivi hawa wanafanya Nini tofauti na sisi kufikia maendeleo hayo😇. Nasoma comment

𝗣𝗮𝗸𝗮 ᵕ̈ 𓃠 (@paka2104) 's Twitter Profile Photo

Kuanzia kesho tarehe 10/12 mpaka tarehe 21/12 kila siku saa 12 asubuhi tutakuwa na space tukisali pamoja NOVENA YA MTAKATIFU RITA WA KASHIA kama upo tayari kushiriki pamoja andaa maombi yako maalumu kwa siku hizo kumi na mbili tusali na kufunga pamoja ✨❤️🙏

Kuanzia kesho tarehe 10/12 mpaka tarehe 21/12 kila siku saa 12 asubuhi tutakuwa na space tukisali pamoja NOVENA YA MTAKATIFU RITA WA KASHIA kama upo tayari kushiriki pamoja andaa maombi yako maalumu kwa siku hizo kumi na mbili tusali na kufunga pamoja ✨❤️🙏
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Tunahitaji wanasheria wengi zaidi waliothabiti kushiriki katika michakato ya kisiasa ndani ya vyama vyao na wakati ukifika nje ya vyama vyao. Kuwa na ushindani wa haki ndani ya vyama vya siasa ni njia ya kuheshimu michakato ya kidemokrasia nje ya vyama. All the best Tundu

Tunahitaji wanasheria wengi zaidi waliothabiti kushiriki katika michakato ya kisiasa ndani ya vyama vyao na wakati ukifika nje ya vyama vyao.

Kuwa na ushindani wa haki ndani ya vyama vya siasa  ni njia ya kuheshimu michakato ya kidemokrasia nje ya vyama.

All the best Tundu
World Organisation for Animal Health (@woah) 's Twitter Profile Photo

Between July & September, 1,249 disease outbreaks were reported in #wildlife, involving 8 diseases across 123 wildlife species. 8% of these species are at risk of extinction. Anthrax impacted 5 threatened species, while #avianinfluenza and West Nile fever each affected 3.

TheProtégéTZ (@giboretz) 's Twitter Profile Photo

1. The New Administrative Capital, Egypt 🇪🇬 Project ilianza mwaka 2015 kwa ajili ya kujenga jiji lingine la kiutawala ili kupunguza msongamano wa watu jijini Cairo. Jengo refu zaidi Afrika la Iconic tower lipo kwenye jiji hili pamoja na viwanja vya mpira vya kisasa kabisa kama

1. The New Administrative Capital, Egypt 🇪🇬

Project ilianza mwaka 2015 kwa ajili ya kujenga jiji lingine la kiutawala ili kupunguza msongamano wa watu jijini Cairo. Jengo refu zaidi Afrika la Iconic tower lipo kwenye jiji hili pamoja na viwanja vya mpira vya kisasa kabisa kama
Filecoin TL;DR (@filecointldr) 's Twitter Profile Photo

1/ Decentralized AI Meets Decentralized Storage TOP AI Network, a decentralized AI model platform, is integrating with Filecoin to tackle AI model storage, retrieval, and inference. This ensures a scalable, verifiable, and decentralized infrastructure for AI applications.

1/ Decentralized AI Meets Decentralized Storage

<a href="/topnetwork_top/">TOP AI Network</a>, a decentralized AI model platform, is integrating with <a href="/Filecoin/">Filecoin</a> to tackle AI model storage, retrieval, and inference. This ensures a scalable, verifiable, and decentralized infrastructure for AI applications.
I&M Foundation (@imfoundationke) 's Twitter Profile Photo

VOICES OF CHANGE Prof. Wangari Maathai was more than an environmentalist. She was a force of nature. With bare hands and boundless resolve, she turned tree planting into a movement that restored landscapes and transformed lives. Through the Green Belt Movement, she planted over

VOICES OF CHANGE

Prof. Wangari Maathai was more than an environmentalist. She was a force of nature. With bare hands and boundless resolve, she turned tree planting into a movement that restored landscapes and transformed lives. Through the Green Belt Movement, she planted over