TraditionIst (@azhardady) 's Twitter Profile
TraditionIst

@azhardady

Nothing

ID: 1428268031118041100

calendar_today19-08-2021 08:10:31

1,1K Tweet

526 Followers

709 Following

TraditionIst (@azhardady) 's Twitter Profile Photo

Kuanzia Leo mimi sio Mwanachama wa CHADEMA Tena. Why? Chuki za kisiasa zimekua nyingi kiasi kwamba viongozi hawana muda wa kujadili issues za msingi kwa utaratibu Mzuri But wanasubiri kupata Loophole za kutokea kisiasa na Kupata Ushawishi na kuvuna Kundi la watu.

TraditionIst (@azhardady) 's Twitter Profile Photo

Ingekua Waliovaa SUTI ndo wanaingia mkataba wa bandari mngepiga kelele kama mnavyopiga huku mitandaoni? Au ni kwa vile waliopewa mkataba wamevaa KANZU? Subirini dawa iingie taratibu kuku nyie.

TraditionIst (@azhardady) 's Twitter Profile Photo

Money can't buy you happiness, anaomba tumsamehe sana alikosea ni ulimi tu uliteleza. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

TraditionIst (@azhardady) 's Twitter Profile Photo

Mafanikio ya kweli yanatafsiriwa kwa kuwaangalia watu ulio waacha nyuma baada ya kumaliza muda wako hapa duniani. Kilele cha maisha yenye mafanikio ni pale unapokua Mwangaza kwenye Giza la yule anaekutegemea.

TraditionIst (@azhardady) 's Twitter Profile Photo

Yale yanayoaminika kuwa na mafanikio kwa mtizamo wa jamii ni uongo uliokubalika na wengi hatimae kuonekana kuwa ni ukweli. Mafanikio yenye ukomo wa muda ni liwazo la akili isiyo na uwezo wa kutafakari kwa kina, ni mshumaa usiokua na nguvu ya kuhimili nguvu ya upepo mkali.

TraditionIst (@azhardady) 's Twitter Profile Photo

Kwa mlioenda kanisani leo jumapili 27/8/2023 vipi Tamko la TEC limesomwa? au ndo Dozi ya tusichanganye dini na siasa imeingia.๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„

TraditionIst (@azhardady) 's Twitter Profile Photo

Wakati Mama Samis anapambana na 4R's kuna Kina LISSU na CHADEMA yake, wao wanapambana na 4U's (UDINI, UKANDA, UPINDE NA UCHOCHEZI). wenye Akili tumewashtukia. Tanzania Abroad TV

TraditionIst (@azhardady) 's Twitter Profile Photo

CHADEMA Itaenda KUPASUKA vipande vipande kama ilivyopasuka CUF. (Sheikhe Yahaya Hussein, 2009) ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”

TraditionIst (@azhardady) 's Twitter Profile Photo

Kesho watafanya matembezi ya amani tu kama walivyofanya lasttime alafu yataishia kwenye mitandao tu. Mama yuko zake kimyaaaaa wala hamtomsikia tena. After 2moro maisha yanarudi kama kawa.