Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profileg
Azam TV

@azamtvtz

Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000

ID:1629945110

linkhttp://azamtv.co.tz/tan calendar_today29-07-2013 09:22:06

94,4K Tweets

1,3M Followers

209 Following

Follow People
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

CRDB BANK FEDERATION CUP: Maboresho ya nguvu yanaendelea kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa mjini Babati kwa ajili ya mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank utakaopigwa Juni 02, 2024.

Huyu hapa akiripoti kutoka dimbani hapo wakati wa ziara ya Makamu

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Tabora United sasa ni 'Mtaa kwa Mtaa' kuhamasisha mashabiki wake ikiwa katika harakati za kujinusuru na panga la kushuka daraja.

Hapa wanajiandaa dhidi ya Ihefu, mchezo utakaopigwa kesho kabla ya kuwakabili mabingwa Yanga SC na kumalizia ugenini dhidi ya

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Imebainishwa kuwa mpaka sasa takribani watumishi elfu 25 pamoja na zaidi ya taasisi 60 zimeshahamia makao makuu ya nchi Dodoma wakati ambapo serikali inaendelea na mpango wa kujenga majengo yake na nyumba za viongozi.

Wahariri | Tuya Ibrahim, John Mbalamwezi

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Serikali imesema inaendelea na ukarabati wa reli ya kati ambapo mpaka sasa kilomita 970 zimekamilika kutoka Dar es Salaam hadi Isaka mkoani Shinyanga.

Wahariri | Tuya Ibrahim, John Mbalamwezi

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Mapema leo, ndugu na jamaa wa watu waliokufa maji baada ya meli ya MV. Bukoba kuzama katika Ziwa Victoria miaka 28 iliyopita, wamefanya dua na ibada za kuwakumbuka wapendwa wao.

Wahariri | Tuya Ibrahim, John Mbalamwezi

Mapema leo, ndugu na jamaa wa watu waliokufa maji baada ya meli ya MV. Bukoba kuzama katika Ziwa Victoria miaka 28 iliyopita, wamefanya dua na ibada za kuwakumbuka wapendwa wao. #AzamTVUpdates Wahariri | Tuya Ibrahim, John Mbalamwezi
account_circle
UFM Radio(@ufmradiotz) 's Twitter Profile Photo

Tutumie maoni yako nasi tutayasoma kupitia kipindi cha Mtaa 107 itakapofika saa 8:00 hadi 10:00 jioni ukiwa na @iam_rehemakhalifa Timothy Chelula na kwenye moja na mbili ni @dj_dwhite1

Zaidi @azamtvburudani Azam TV

Tutumie maoni yako nasi tutayasoma kupitia kipindi cha Mtaa 107 itakapofika saa 8:00 hadi 10:00 jioni ukiwa na @iam_rehemakhalifa @timothychelula na kwenye moja na mbili ni @dj_dwhite1 #UFMBurudaniZaidi #Mtaa107 #UFMBurudani #SisiNiWewe @azamtvburudani @azamtvtz
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Unahafamu chochote kuhusu bondia kuitwa Undisputed champion?? Leo kwenye nje ya Ulingo Aidan Mlimila atakueleza.

Bila kusahau uchambuzi wa pambano kati ya Tyson Fury dhidi ya Olesksandr Usyk utaupata.

Tutamaliza kwa kutazama 'KO' ambazo zilikuwa na msisimko mkubwa kwenye

Unahafamu chochote kuhusu bondia kuitwa Undisputed champion?? Leo kwenye nje ya Ulingo Aidan Mlimila atakueleza. Bila kusahau uchambuzi wa pambano kati ya Tyson Fury dhidi ya Olesksandr Usyk utaupata. Tutamaliza kwa kutazama 'KO' ambazo zilikuwa na msisimko mkubwa kwenye
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Karibu tukupitishe vichwa mbalimbali vya habari vilivyojiri kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo Mei 21, 2024.

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Kesho Jumanne Azam FC watashuka kwenye Dimba la Meja Jenerali Isamuhyo kuwakabili JKT Tanzania kuanzia saa 10:00 jioni.

Kuelekea mchezo huo, makocha na wachezaji wa timu zote mbili akiwemo Hassan Dilunga wanazungumzia maandalizi yao....

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

65’ |

Tanzania Prisons wako pungufu baada ya nahodha wao Jumanne Elifadhili kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 40.

Tanzania Prisons 1-2 Mashujaa FC

LIVE

Updates

65’ | #NBCPL Tanzania Prisons wako pungufu baada ya nahodha wao Jumanne Elifadhili kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 40. Tanzania Prisons 1-2 Mashujaa FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #SokaLetuDamdam
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

'.....humu tu' - Ally Kamwe akata mayenu hadharani, kuelekea sherehe za ubingwa wa Yanga, Mei 25, 2024 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.

Balaa tupu.......

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Tanzania na China zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja kwa kuziwezesha kampuni za Tanzania kupewa sehemu ya kazi za ujenzi kutoka kwa kampuni za China zitakazopata zabuni za miradi ya ujenzi