Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profileg
Azam TV

@azamtvtz

Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000

ID:1629945110

linkhttp://azamtv.co.tz/tan calendar_today29-07-2013 09:22:06

94,3K Tweet

1,3M Takipçi

209 Takip Edilen

Follow People
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa jimbo la Madaba na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Dkt. Joseph Kizito amewapongeza wahitimu 23 wa mafunzo ya uchezeshaji wa soka nchini.

Wahitimu hao, wanawake watatu na wanaume 20 wamefanikiwa kufuzu mafunzo ya soka nchini kupitia…

Mbunge wa jimbo la Madaba na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Dkt. Joseph Kizito amewapongeza wahitimu 23 wa mafunzo ya uchezeshaji wa soka nchini. Wahitimu hao, wanawake watatu na wanaume 20 wamefanikiwa kufuzu mafunzo ya soka nchini kupitia…
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MSIMAMO: Tanzania Prisons wanaikamata rasmi nafasi ya tano wakati Coastal Union wakizidi kujimilikisha nafasi ya nne. Namungo na Dodoma Jiji nao mambo safi, wote wakipanda kwa nafasi mbili.

Updates

MSIMAMO: Tanzania Prisons wanaikamata rasmi nafasi ya tano wakati Coastal Union wakizidi kujimilikisha nafasi ya nne. Namungo na Dodoma Jiji nao mambo safi, wote wakipanda kwa nafasi mbili. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #SokaLetuBambam #Msimamo #Standing…
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Kule Kenya, mabingwa watetezi, Gor mahia FC bado mechi tatu pekee watangaze kuutetea ubingwa wao........

Katika hizo tatu kesho Jumamosi wanaanza na Shabana FC wanaopigania uhai wao kwenye ligi.

Je, itakuwaje?

Ni kufa kupona LIVE kuanzia saa 8:00 mchana.…

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wamekutana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Azam Marine, Abubakar Aziz na kufanya mazungumzo ya kuboresha utoaji wa huduma za kivuko kwenye eneo la Magogoni - Kigamboni, Dar es Salaam.

Imeandaliwa na…

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

NAMUNGO vs GEITA GOLD | Mechi hii haitakuwa mbashara kutokana na mvua kubwa iliyosababisha changamoto ya urushaji wa matangazo kutoka kwenye Uwanja wa Majaliwa, Lindi.

Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.

Hata hivyo taarifa zote kuhusu mwenendo wa mchezo huu (updates)…

NAMUNGO vs GEITA GOLD | Mechi hii haitakuwa mbashara kutokana na mvua kubwa iliyosababisha changamoto ya urushaji wa matangazo kutoka kwenye Uwanja wa Majaliwa, Lindi. Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza. Hata hivyo taarifa zote kuhusu mwenendo wa mchezo huu (updates)…
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Leah anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 19 na mkazi wa mtaa wa Kasarani mkoani Kagera amefariki dunia baada ya kusombwa na maji yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani humo.


Wahariri | Onike Masayanyika,…

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameukutanisha Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na Kampuni ya M/S Azam Marine kujadili namna ya kuendelea kushirikiana kwa pamoja katika kuboresha utoaji wa huduma za usafiri wa vivuko katika eneo la Magogoni – Kigamboni jijini Dar es Salaam.…

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameukutanisha Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na Kampuni ya M/S Azam Marine kujadili namna ya kuendelea kushirikiana kwa pamoja katika kuboresha utoaji wa huduma za usafiri wa vivuko katika eneo la Magogoni – Kigamboni jijini Dar es Salaam.…
account_circle