Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profileg
Azam TV

@azamtvtz

Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | ๐Ÿ“ž +255784108000

ID:1629945110

linkhttp://azamtv.co.tz/tan calendar_today29-07-2013 09:22:06

94,8K Tweets

1,3M Followers

210 Following

Follow People
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Pambano kati ya Mtanzania, Hassan Mwakinyo dhidi ya Patrick Allotey la kuwania Ubingwa wa Afrika mkanda wa WBO halijafanyika kwasababu mwakilishi wa WBO Afrika, SAMIR CAPTAN hakufika ulingoni.

(Imeandaliwa na Ally Bakari)

MTATA MTATUZI: Pambano kati ya Mtanzania, Hassan Mwakinyo dhidi ya Patrick Allotey la kuwania Ubingwa wa Afrika mkanda wa WBO halijafanyika kwasababu mwakilishi wa WBO Afrika, SAMIR CAPTAN hakufika ulingoni. (Imeandaliwa na @allymuftiTZ) #MtataMtatuzi #VitasaNight
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Shughuli ya Ashraf Suleiman imeishia raundi ya pili.

Maji yakazidi unga na mwishowe akaanguka chini.

Amekula KO kutoka kwa 'mjeda' Haruna Swanga.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

(Imeandaliwa na

MTATA MTATUZI: Shughuli ya Ashraf Suleiman imeishia raundi ya pili. Maji yakazidi unga na mwishowe akaanguka chini. Amekula KO kutoka kwa 'mjeda' Haruna Swanga. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD (Imeandaliwa na
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Shaban Jongo ameshinda kwa pointi dhidi ya Alphonce Mchumiatumbo kwenye pambano la sita usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

(Imeandaliwa na Ally Bakari)

MTATA MTATUZI: Shaban Jongo ameshinda kwa pointi dhidi ya Alphonce Mchumiatumbo kwenye pambano la sita usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD (Imeandaliwa na @allymuftiTZ) #MtataMtatuzi #VitasaNight
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Patashika ya Shaban Jongo dhidi ya Alphonce Mchumiatumbo kwenye pambano la sita usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

MTATA MTATUZI: Patashika ya Shaban Jongo dhidi ya Alphonce Mchumiatumbo kwenye pambano la sita usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD #MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #MwakinyoVsAllotey
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Huyu ndiye Alphonce Mchumiatumbo anayepigana na Shaban Jongo kwenye pambano la sita usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

MTATA MTATUZI: Huyu ndiye Alphonce Mchumiatumbo anayepigana na Shaban Jongo kwenye pambano la sita usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD #MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #MwakinyoVsAllotey
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI:Kivumbi cha Shaban Jongo dhidi ya Alphonce Mchumiatumbo kwenye pambano la sita usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

MTATA MTATUZI:Kivumbi cha Shaban Jongo dhidi ya Alphonce Mchumiatumbo kwenye pambano la sita usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD #MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #MwakinyoVsAllotey
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Ni zamu ya Shaban Jongo dhidi ya Alphonce Mchumiatumbo kwenye pambano la sita usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

MTATA MTATUZI: Ni zamu ya Shaban Jongo dhidi ya Alphonce Mchumiatumbo kwenye pambano la sita usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD #MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #MwakinyoVsAllotey
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Mtoto wa nyoka ni nyoka... Mtanzania, Amir Matumla ameshinda kwa pointi dhidi ya Reagan Pacho kutoka DR Congo kwenye pambano la tano usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

MTATA MTATUZI: Mtoto wa nyoka ni nyoka... Mtanzania, Amir Matumla ameshinda kwa pointi dhidi ya Reagan Pacho kutoka DR Congo kwenye pambano la tano usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD #MtataMtatuzi
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Gwiji wa ndondi nchini Rashid Matumla, yupo hapa kumshuhudia mwanae Amir Matumla akizichapa dhidi ya Reagan Pacho kutoka DR Congo kwenye pambano la tano usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

MTATA MTATUZI: Gwiji wa ndondi nchini Rashid Matumla, yupo hapa kumshuhudia mwanae Amir Matumla akizichapa dhidi ya Reagan Pacho kutoka DR Congo kwenye pambano la tano usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Shughuli ni pevu kati ya Mtanzania, Amir Matumla dhidi ya Reagan Pacho kutoka DR Congo kwenye pambano la tano usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

MTATA MTATUZI: Shughuli ni pevu kati ya Mtanzania, Amir Matumla dhidi ya Reagan Pacho kutoka DR Congo kwenye pambano la tano usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD #MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Kishindo cha Mtanzania, Amir Matumla dhidi ya Reagan Pacho kutoka DR Congo kwenye pambano la tano usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

MTATA MTATUZI: Kishindo cha Mtanzania, Amir Matumla dhidi ya Reagan Pacho kutoka DR Congo kwenye pambano la tano usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD #MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Ni zamu ya Mtanzania, Amir Matumla dhidi ya Reagan Pacho kutoka DR Congo kwenye pambano la tano usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

MTATA MTATUZI: Ni zamu ya Mtanzania, Amir Matumla dhidi ya Reagan Pacho kutoka DR Congo kwenye pambano la tano usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD #MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #MwakinyoVsAllotey
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Kivumbi na jasho kati ya Shaban Kaoneka dhidi ya Jaylan Mohamed kwenye pambano la nne usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

MTATA MTATUZI: Kivumbi na jasho kati ya Shaban Kaoneka dhidi ya Jaylan Mohamed kwenye pambano la nne usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD #MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #MwakinyoVsAllotey
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Shughuli ni pevu kati ya Shaban Kaoneka dhidi ya Jaylan Mohamed kwenye pambano la nne usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

MTATA MTATUZI: Shughuli ni pevu kati ya Shaban Kaoneka dhidi ya Jaylan Mohamed kwenye pambano la nne usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD #MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #MwakinyoVsAllotey
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Ni zamu ya Shaban Kaoneka dhidi ya Jaylan Mohamed kwenye pambano la nne usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

MTATA MTATUZI: Ni zamu ya Shaban Kaoneka dhidi ya Jaylan Mohamed kwenye pambano la nne usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD #MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #MwakinyoVsAllotey #GoldenBoyPromotion
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Yusuph Metu ndio mshindi kwa pointi akimshinda Maisha Samson kwenye pambano la tatu usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

MTATA MTATUZI: Yusuph Metu ndio mshindi kwa pointi akimshinda Maisha Samson kwenye pambano la tatu usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD #MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #MwakinyoVsAllotey
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Yusuph Metu anapambana na Maisha Samson kwenye pambano la tatu usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

Night

MTATA MTATUZI: Yusuph Metu anapambana na Maisha Samson kwenye pambano la tatu usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD #MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #MwakinyoVsAllotey #GoldenBoyPromotion #Vitasa
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Mchezaji wa soka Hamadi Waziri na mwenza wake Esha Buheti wapo hapa Warehouse kutazama vitasa.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

MTATA MTATUZI: Mchezaji wa soka Hamadi Waziri na mwenza wake Esha Buheti wapo hapa Warehouse kutazama vitasa. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD #MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #MwakinyoVsAllotey
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Kennedy Ayoo ameshinda kwa pointi dhidi ya Johnson Kiwia kwenye pambano la pili usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

MTATA MTATUZI: Kennedy Ayoo ameshinda kwa pointi dhidi ya Johnson Kiwia kwenye pambano la pili usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD #MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #MwakinyoVsAllotey
account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

MTATA MTATUZI: Shughuli ni pevu kati ya Johnson Kiwia dhidi ya Kennedy Ayoo kwenye pambano la pili usiku huu.

Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey.

Tuko LIVE

MTATA MTATUZI: Shughuli ni pevu kati ya Johnson Kiwia dhidi ya Kennedy Ayoo kwenye pambano la pili usiku huu. Pambano kuu ni Mtanzania, Hassan Mwakinyo na Mghana, Patrick Allotey. Tuko LIVE #AzamSports3HD #MtataMtatuzi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #MwakinyoVsAllotey
account_circle