Asia Abdallah(BIBI) (@asiaabdallah16) 's Twitter Profile
Asia Abdallah(BIBI)

@asiaabdallah16

An Icon4TrueReform

ID: 893968087317446659

calendar_today05-08-2017 22:52:55

2,2K Tweet

5,5K Followers

204 Following

Asia Abdallah(BIBI) (@asiaabdallah16) 's Twitter Profile Photo

Naungana pamoja na Watanzania wote katika kumbukizi ya miaka 53 ya kifo cha Hayati Abeid Amani Karume!. Endelea kupumzika pema peponi Mzalendo na Mwanamapinduzi wa enzi 🇹🇿🙏🇹🇿Ikulu | Zanzibar

Naungana  pamoja na Watanzania wote katika kumbukizi ya miaka 53 ya kifo cha Hayati Abeid Amani Karume!. Endelea kupumzika pema peponi Mzalendo na Mwanamapinduzi wa enzi 🇹🇿🙏🇹🇿<a href="/ikuluzanzibar/">Ikulu | Zanzibar</a>
Asia Abdallah(BIBI) (@asiaabdallah16) 's Twitter Profile Photo

Mkulima kala mbegu anataka kutuachaaaaa, mkulima huyu vipi mkulima ameshemsha, ukipanda ubyu biashara ni ubuyu tuuuuu, huyu Mkulima unamshauri nini,, koment ziwe fupi fupi…

Kumbuka kuwa matunda na mboga mboga ni afya, jenga utamaduni wa kupata tunda lako kabla ya Mlo utakuja kunishukuru baadaye 🥑🥑

Huyu mjukuu ameshagundua mali iko shambani wewe endelea kukaa mitandaoni bila faida, kubeza watu na kutoa maneno yasiyo kuwa na stara, tumia ujana wako katika kuijenga kesho yako, familia yako inakutegemea, hii ni dhahabu ya kijani miti yako 50 tu ni mwanzo mzuri wa kujikomboa…

Mwenge wa Uhuru ndani ya Chemba, Dodoma -Tanzania, hakika Mwenge wa Uhuru ni Tunu kwa Taifa letu, wajukuu tuendelee kuenzi Mwenge wetu❤️🇹🇿❤️

Kila la heri ndugu zetu wa Roman Catholic, inaonekana haikuwa rahisi hadi kufikia hatima ya zoezi la kupata kiongozi huyu wa kiroho, namwombea uongozi mwema kwa kuwa amebaba matumaini ya watu wengi nyuma yake.Hongera wajumbe wote kwa kumaliza zoezi hili kwa amani na salama 🤝🌏🤝

Moyo ni kichaka kila mmoja analo lake la Moyoni lakini Mwenyezi Mungu anafichua yote yaliyomo ndani na anazijua dhamira zetu fanya yote lakini ujue yupo aliye hai anakuona muda wote. Tuishi kwa hesabu🤲🏼🌹🤲🏼

Nchi yetu ni moja east west tunazunguka nimefarijika kumwona mjukuu wangu Masphia tumeyajenga karibu sana makao ya Taifa letu pendwa kabisa la 🇹🇿

Nchi yetu ni moja east west tunazunguka nimefarijika kumwona mjukuu wangu   <a href="/Masphia2/">Masphia</a> tumeyajenga karibu sana makao ya Taifa letu pendwa kabisa la 🇹🇿
Asia Abdallah(BIBI) (@asiaabdallah16) 's Twitter Profile Photo

Chuki hazijengi, wakati tunakua upendo ulikuwa mwingi kuliko Chuki kizazi cha siku hizi kinafeli wapi, baadye yako ni bora zaidi vumilia ijenge huku ukiwa na subra ili ije kukufaa wewe na wajukuu zako. #BIBI