Water Professionals (@watersportwears) 's Twitter Profile
Water Professionals

@watersportwears

•Sports Wear & Accessories •Gym Accessories & Machines • Electronic gadgets • CCTV Camera & Installations 📍Mbezi beach, Africana

ID: 1245992996165877761

linkhttp://www.waterprofessionals.co.tz calendar_today03-04-2020 08:34:26

4,4K Tweet

2,2K Takipçi

885 Takip Edilen

Mwaki (@mwaki28) 's Twitter Profile Photo

Kwenye maisha yako ulishawahi kuchezea mchezo wa Rede?😀 Hasa unaambiwa huu mchezo watu wengi walishacheza kwenye hatua yao wakati wa ukuaji. Hata hivyo kwenye #WaajiriBonanza2023 Kutakuwa na mchezo pedwa wa Rede. 1️⃣DSE✅ 2️⃣ATE✅ #WaajiriBonanza2023 #ATETanzania

Kwenye maisha yako ulishawahi kuchezea mchezo wa Rede?😀

Hasa unaambiwa huu mchezo watu wengi walishacheza kwenye hatua yao wakati wa ukuaji.

Hata hivyo kwenye #WaajiriBonanza2023
Kutakuwa na mchezo pedwa wa Rede.

1️⃣DSE✅
2️⃣ATE✅

#WaajiriBonanza2023 
#ATETanzania
Bid Manager (@fredtender) 's Twitter Profile Photo

Ukiwa sehemu yako ya kazi ghafla unapokea taarifa njema. Umeteuliwa kuwa CEO mpya wa kampuni. Unaona ile ndoto yako ya muda mrefu has come true. Ila kwenye majukumu yako ukaambiwa. Productivity ya kampuni imeshuka sana. And sababu ni 70% ya employees sio ... 🧵

Ukiwa sehemu yako ya kazi ghafla  unapokea taarifa njema.

Umeteuliwa kuwa CEO mpya wa kampuni.

Unaona ile ndoto yako ya muda mrefu has come true.

Ila kwenye majukumu yako ukaambiwa.

Productivity ya kampuni imeshuka sana.

And sababu ni 70% ya employees sio ...

🧵
Mwaki (@mwaki28) 's Twitter Profile Photo

Unafikiri matatizo ya Afya ya Akili kwenye maeneo ya kazi yanasababishwa na nini? #WaajiriBonanza2023 #ATETanzanzania

Mwakatundu Jɾ (@amusmartz) 's Twitter Profile Photo

⌚ : Mlima uliobakia wa T900 ultra Yamebaki masaa machache ya offer kuisha Jipatie yako sasa kwa offer ya masaa 24 kwa watu wateja watano wa mwanzo. 💰 : Utaipata kwa tsH 𝟒𝟬, 𝟬𝟬𝟬/= Badala ya tsH 43,000/= 📍: Dar Es Salaam ☎️ Whatsapp : +𝟮𝟱𝟱 𝟳𝟲𝟲 𝟵𝟬𝟭 𝟱𝟬𝟵 🇹🇿

⌚ : Mlima uliobakia wa T900 ultra Yamebaki masaa machache ya offer kuisha

Jipatie yako sasa kwa offer ya masaa 24 kwa watu wateja watano wa mwanzo.

💰 : Utaipata kwa tsH 𝟒𝟬, 𝟬𝟬𝟬/= Badala ya tsH  43,000/=

📍: Dar Es Salaam
☎️  Whatsapp : +𝟮𝟱𝟱 𝟳𝟲𝟲 𝟵𝟬𝟭 𝟱𝟬𝟵 🇹🇿
John kalage 🇹🇿 (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Feed Grade Sulphur: Feed Grade Sulphur ni chakula cha mifugo ambacho kina Sulphur inayosaidia wanyama wanaocheua (ng’ombe, kondoo, mbuzi) kuchakata amino asidi,methionine na lysine. Faida ☑️Huongeza uzalishaji maziwa kwa ng’ombe wa maziwa. #MifugoBoraNaYara #YaraTanzania

Feed Grade Sulphur:

Feed Grade Sulphur ni chakula cha mifugo ambacho kina Sulphur  inayosaidia wanyama wanaocheua (ng’ombe, kondoo, mbuzi) kuchakata amino asidi,methionine na lysine.

Faida
☑️Huongeza uzalishaji maziwa kwa ng’ombe wa maziwa.

#MifugoBoraNaYara
#YaraTanzania
Gift Kimaro (@giftkimaro7) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Lindi wakifurahia upatikanaji wa vitabu shuleni. Shule hii ni ya mchepuo wa sayansi na ni moja kati ya shule 26 za wasichana zilizojengwa na Serikali kupitia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) katika mikoa yote nchini. #MamaYukoKazini

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Lindi wakifurahia upatikanaji wa vitabu shuleni.  Shule hii ni ya mchepuo wa sayansi na ni moja kati ya shule 26 za wasichana zilizojengwa na Serikali kupitia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) katika mikoa yote nchini.
#MamaYukoKazini
Mwaki (@mwaki28) 's Twitter Profile Photo

Mchezo Wa Glass race ni miongoni mwa Michezo mizuri sana. Kwenye Bonanza lililoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania Association of Tanzania Employers(ATE) huu mchezo utakuwepo pia. Hii nayo Imeenda🔥 #WaajiriBonanza2023 #ATETanzania

Mchezo Wa Glass race ni miongoni mwa Michezo mizuri sana.

Kwenye Bonanza lililoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania <a href="/ATE_Tanzania/">Association of Tanzania Employers(ATE)</a> huu mchezo utakuwepo pia.

Hii nayo Imeenda🔥

#WaajiriBonanza2023 
#ATETanzania
Mwaki (@mwaki28) 's Twitter Profile Photo

Muda tuliokuwa tunausubir sasa Umewadia Kesho kwenge jamvi la #ElimikaWikiendi ambapo uzinduzi rasmi #ImarikaChatbot yenye kutoa msaada kwa vijana kwenye maeneo mbalimbali. #ImarikaTz | #ElimikaWikiendi

Muda tuliokuwa tunausubir sasa Umewadia

Kesho kwenge jamvi la #ElimikaWikiendi ambapo uzinduzi rasmi #ImarikaChatbot yenye kutoa msaada kwa vijana kwenye maeneo mbalimbali.

#ImarikaTz  | #ElimikaWikiendi
Broke James (@broke_jk) 's Twitter Profile Photo

Zikitokea fursa za kujiendeleza au ajira kazini kwenu unawakunjia washikaji zako, ila likija swala la kuchangiana mipunga unawatumia text mbili mbili kuwapuna mia mia zao.

Mwaki (@mwaki28) 's Twitter Profile Photo

Kuna Matatizo mengine sio lazima usaidiwe na Mwenyezi Mungu, kwa mfano hili tatizo la Jua kuzidi kuwa Kali sana huwezi kujiongeza? Chukua Cap Tsh. 15,000/=wa #watersportwears itakuwa umepunguza baadhi ya Matatizo.

Kuna Matatizo mengine sio lazima usaidiwe na Mwenyezi Mungu, kwa mfano hili tatizo la Jua kuzidi kuwa Kali sana huwezi kujiongeza?

Chukua Cap Tsh. 15,000/=wa #watersportwears itakuwa umepunguza baadhi ya Matatizo.
Water Professionals (@watersportwears) 's Twitter Profile Photo

-Double chest (three functions exercise ) ~ 35,000/= -Resistance band ~ 45,000/= Location: Mbezi beach africana Contact ; 0692018343/0682448630

-Double chest (three functions exercise ) ~ 35,000/=
-Resistance band ~ 45,000/=

Location: Mbezi beach africana
Contact ; 0692018343/0682448630