Dingoo (@therealman____) 's Twitter Profile
Dingoo

@therealman____

Be A Man Of God...

ID: 1560528600792711169

calendar_today19-08-2022 07:28:09

11,11K Tweet

560 Takipçi

221 Takip Edilen

BUDDAH 👀 (@moddohclassic) 's Twitter Profile Photo

Nilishawahi kufanyiwa mazuri na watu waliosemwa kuwa ni wabaya. Usirithi adui wa mtu, ishi na mtu kulingana na namna ulivyomjua wewe. Mwisho.

CHOLLO🇹🇿 (@chollo_255) 's Twitter Profile Photo

Hapa mbezi kuna chimbo moja la utelezi linaitwa Lubumbashi,kuna mshangazi mmoja huo umefanana na kibibi samia, aisee nimeogopa nusu nikimbie qmmke..💔🚮🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏽

Hunaiya msomally (@hunaiya153989) 's Twitter Profile Photo

Ila 🤣🤣 eti wemaa uchi hafichi na kuzaa hazai 🤣🤣🤣🙌 watu wana maneno jamani Wahenga hawatoboi mwaka huu🙌🙌

SOYA (@kevo0712) 's Twitter Profile Photo

Sema hii kuishi na demu pika Pakua na Kwao hawanijui ni hatari sana Sasa siku akinifia ndani sijui kama familia yake itanielewa

CHOLLO🇹🇿 (@chollo_255) 's Twitter Profile Photo

Hakuna mganga wa maisha kwamba akupe/akufanyie dawa ili ufanikiwe,kazi ya mganga ni kutibu yaani kugundua una ugonjwa gani ili akupe/akuelekeze dawa inayoweza kuutibu ugonjwa huo. Tafuta kazi ya kufanya,hakuna dawa ya utajiri utawamaliza ndugu zako..

Man Like Sule™ (@maichagange) 's Twitter Profile Photo

Kuna madogo unawaona hapo mtaani kwenu wanaingiza mamilioni, Wakati wewe unashindwa hata kulipa kodi ya nyumba. Lakini hautakiwi kukata tamaa ata kidogo.. Kwasababu kukata tamaa ni kukubali kushindwa. Na usikubali kamwe kuwa umeshindwa na wengine.

Man Like Sule™ (@maichagange) 's Twitter Profile Photo

Siku zote usikubali kuwa mnyonge kwa Mwanamke. Anaweza akakuchukia, lakini akikuheshimu atabaki na wewe hata dunia ikigeuka. Kuwa na adabu kidogo, lakini uwe na ubabe ndani yake. Dunia ya sasa, Mwanaume lazima awe na roho ya mbaya, na sio mzembe mzembe.