T5 generation๐Ÿ‘Š (@t5generation) 's Twitter Profile
T5 generation๐Ÿ‘Š

@t5generation

ID: 1715783861978767360

calendar_today21-10-2023 17:35:55

156,156K Tweet

13,13K Takipรงi

9,9K Takip Edilen

MpembA (@iammpemba) 's Twitter Profile Photo

Wakenya wakiongea kiswahili wanakuwa na accent inachekesha mbaya,Nimekuta clip za content creator flani utacheka mbaya Nimekusogezea baadhi ya video zake Video Thread

Wakenya wakiongea kiswahili wanakuwa na accent inachekesha mbaya,Nimekuta clip za content creator flani utacheka mbaya

Nimekusogezea baadhi ya video zake

Video Thread
ELIAS๐Ÿฆ (@eliaskaneke) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿง ๐Ÿง UKOMBOZI WA FIKRA(KIUCHUMI) โœ๏ธโœ๏ธKujikomboa kiuchumi hakuanzi kwa pesa mkononi, bali kunaanzia katika ubongo wako โ€“ yaani jinsi unavyofikiri, kuamini na kufanya maamuzi. ๐Ÿ”‘ Hapa kuna mambo muhimu ya kiakili yanayoleta mabadiliko ya kifedhaโœŠ Fuatana nami ktk Uzi huu๐Ÿงต๐Ÿ‘‡

๐Ÿง ๐Ÿง UKOMBOZI WA FIKRA(KIUCHUMI)

    โœ๏ธโœ๏ธKujikomboa kiuchumi hakuanzi kwa pesa mkononi, bali kunaanzia katika ubongo wako โ€“ yaani jinsi unavyofikiri, kuamini na kufanya maamuzi.

๐Ÿ”‘ Hapa kuna mambo muhimu ya kiakili yanayoleta mabadiliko ya kifedhaโœŠ

Fuatana nami ktk Uzi huu๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
Eng.Benjamin (@nyalut23) 's Twitter Profile Photo

CONTEMPORARY HOUSE 3 BEDROOM ๐Ÿก DETAILS 1. 3 Bedroom (1Master, 2Plain) 2. Sitting room 3. Dining 4. Kitchen 5. Public toilet Bati 48 Block 3200 ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ View our catalog on WhatsApp: wa.me/c/255746122023 โœ๏ธNB: Haina hajanya kuogopa inamwaga maji side moja. No kuvuja

CONTEMPORARY HOUSE 3 BEDROOM ๐Ÿก 

DETAILS
1. 3 Bedroom (1Master, 2Plain)
2. Sitting room 
3. Dining 
4. Kitchen
5. Public toilet 
Bati 48
Block 3200
๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
View our catalog on WhatsApp: wa.me/c/255746122023

โœ๏ธNB: Haina hajanya kuogopa inamwaga maji side moja. No kuvuja
๐”๐ƒ-๐๐Ž๐˜ (@udsm_finest) 's Twitter Profile Photo

Mambo 10 ya Kuzingatia ili kuwa na Ghetto lako Kuanza ghetto si tu kupata chumba cha kupanga, bali ni hatua ya kuanza maisha mapya yenye heshima na mipangilio. Ili kuishi vizuri na kuepuka misingi mibovu, zingatia haya: Uzi ๐Ÿงต 1. Tathmini Kipato Chako

Mambo 10 ya Kuzingatia ili kuwa na Ghetto lako 

Kuanza ghetto si tu kupata chumba cha kupanga, bali ni hatua ya kuanza maisha mapya yenye heshima na mipangilio.

 Ili kuishi vizuri na kuepuka misingi mibovu, zingatia haya:

Uzi ๐Ÿงต

1. Tathmini Kipato Chako
SECURE ESTATES AND PROPERTIES LTD (@secure_estates) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ›ก๏ธ USINUNUE KWANZA! JUA KAMA ENEO LINAMGOGORO AU LA! Unatafuta kununua kiwanja au nyumba? Kumbuka: si kila linalouzwa ni salama kisheria. Kabla hujatoa hela yako: โœ… Hakikisha kuna *hati halali* โœ… Fanya *uhakiki wa wamiliki halali* โœ… Chunguza kama kuna mgogoro wa

๐Ÿ›ก๏ธ USINUNUE KWANZA! JUA KAMA ENEO LINAMGOGORO AU LA!

Unatafuta kununua kiwanja au nyumba? Kumbuka: si kila linalouzwa ni salama kisheria. Kabla hujatoa hela yako:  
โœ… Hakikisha kuna *hati halali*  
โœ… Fanya *uhakiki wa wamiliki halali*  
โœ… Chunguza kama kuna mgogoro wa
CARGOโญ๐ŸŒ (@cargo_1911) 's Twitter Profile Photo

Wakubwa Naomba Repost ๐ŸŽฏ๐Ÿ“ Weekend Hii hakuna Kupoa,Hapa kuna Maokoto Chukua Mkeka๐Ÿ‘‡โฌ‡๏ธ โžก๏ธOdds 2 โžก๏ธCode KHNR7 โžก๏ธStake 5.5M๐Ÿ’ธ ๐ŸŒCompany Spin Better ๐Ÿ”ดZima VPN unapojisajili JISAJILI SASA๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘‡ Web ๐ŸŽฏ redirspinner.com/2tRs?p=%2Fregiโ€ฆ App ๐ŸŽฏ redirspinner.com/2tRs?p=%2Fregiโ€ฆ Promo code๐Ÿ‘‰Amina

Wakubwa Naomba Repost ๐ŸŽฏ๐Ÿ“

Weekend Hii hakuna Kupoa,Hapa kuna  Maokoto Chukua Mkeka๐Ÿ‘‡โฌ‡๏ธ

โžก๏ธOdds 2
โžก๏ธCode KHNR7
โžก๏ธStake 5.5M๐Ÿ’ธ

๐ŸŒCompany Spin Better 
๐Ÿ”ดZima VPN unapojisajili 

JISAJILI SASA๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘‡
Web ๐ŸŽฏ redirspinner.com/2tRs?p=%2Fregiโ€ฆ

App ๐ŸŽฏ redirspinner.com/2tRs?p=%2Fregiโ€ฆ

Promo code๐Ÿ‘‰Amina
T5 generation๐Ÿ‘Š (@t5generation) 's Twitter Profile Photo

Kufanya mazoezi jioni ni kama kufunga ukurasa wa siku. Unatoa uchovu, unajaza nguvu mpya na unalala ukiwa na mwili mwepesi na akili tulivu. ๐Ÿ’ช