heisCHIUKUTA_ (@son_noeli) 's Twitter Profile
heisCHIUKUTA_

@son_noeli

Actuarial analyst & statistician 📊📉

ID: 1503298070708109314

calendar_today14-03-2022 09:13:14

59,59K Tweet

3,3K Takipçi

3,3K Takip Edilen

kijana mpole (@bestenicolas) 's Twitter Profile Photo

Kipi unaweza kumudu kukifanya Kati ya hivi ??🤔🤨 1👉kukaa miezi 6 bila kuoga 2👉kukaa miezi 6 bila hela 3👉kukaa miezi 6 bila kufanya mapenzi 4👉kukaa miezi 6 bila kutumia simu

Mvumbuzi📝 (@mvumbuzi_1) 's Twitter Profile Photo

Ufunguo wa maisha yenye mafanikio haupo katika kile unachokijua bali ufunguo wa mafanikio ni jinsi unavyotumia kile unachokijua.

Ambele Young (@ambele_young) 's Twitter Profile Photo

Naomba retweets hapa wakuu Habari njema Airtel sasa inaleta router za 5G zenye kasi ya juu na bora zaidi kwa matumizi ya nyumbani na biashara yako. 🚀 ✅ Kasi ya juu zaidi ✅ Bando ni la mwezi bila kikomo ✅ Rahisi kuitumia ✅ Unaweza unganisha mpaka watu 64 Bei za bando ni

Naomba retweets hapa wakuu 

Habari njema Airtel sasa inaleta router za 5G zenye kasi ya juu na  bora zaidi kwa matumizi ya nyumbani na biashara yako. 🚀

✅ Kasi ya juu zaidi
✅ Bando ni la mwezi bila kikomo
✅ Rahisi kuitumia 
✅ Unaweza unganisha mpaka watu 64

Bei za bando ni
Williard (@prolific_88) 's Twitter Profile Photo

Muhindi: Umesema utabet weekend sio? Me : ntakupasua vibaya😂 Muhindi: aya ngoja tuone me niko vacation 😎 Me: Ama zako ama zangu 🫵🏿

Muhindi: Umesema utabet weekend sio?

Me : ntakupasua vibaya😂

Muhindi: aya ngoja tuone me niko vacation 😎

Me: Ama zako ama zangu 🫵🏿
𝐌𝐫 𝐬𝐢𝐲𝐞𝐧𝐠𝐨 (@mrsiyengo) 's Twitter Profile Photo

Kukosea katika maisha ni kawaida, Lakini unapoomba msamaha usitumie kabisa kauli zifuatazo- 01. "Nisamehe kama ninekosea/ kama nimekosea nisamehe" Hii Kauli Inaonesha ni kwa Jinsi gani haujatambua kosa lako, Inaashiria kuwa umesingiziwa na unalazimishwa kuomba msamaha,

𝔠𝔥𝔲𝔤𝔞 𝚔𝔦𝔫𝔤👑 (@brayan__606) 's Twitter Profile Photo

Karma is real kama alidhani hatolipwa Ndio kinaanza,,sawa watampa Iła kwa Masimango na soon watampika tu kilio Au chozi la mwenzako sio ya pili pili au kitunguu ni chozi la uchunguu let’s keep rolling hii ndio x platformę 😎