SINGIDA BLACK STARS SC (@singidabssc) 's Twitter Profile
SINGIDA BLACK STARS SC

@singidabssc

Ukurasa huu Sio Rasmi wa Klabu ni wa Shabiki damu damu wa Singida Black stars.

ID: 1418928393115078656

calendar_today24-07-2021 13:37:58

2,2K Tweet

145,145K Takipçi

71 Takip Edilen

SINGIDA BLACK STARS SC (@singidabssc) 's Twitter Profile Photo

Tuchague Viongozi wapenda haki. Tuchague Viongozi Walio Tayari kukosolewa. Tuchague Viongozi wasiopenda machawa. Tuchague Viongozi wapenda Maendeleo. Tuchague Viongozi ambao wataenda kwa maslai ya nchi na sio kwenda kutetea Chama.

Tuchague Viongozi wapenda haki.
Tuchague Viongozi Walio  Tayari kukosolewa.
 Tuchague Viongozi wasiopenda machawa.
Tuchague Viongozi wapenda Maendeleo.
Tuchague Viongozi ambao wataenda kwa maslai ya  nchi na sio kwenda kutetea Chama.
SINGIDA BLACK STARS SC (@singidabssc) 's Twitter Profile Photo

Yaani Mashabiki wa Yanga Mnalipia pesa za Tofari za Ubingwa Viongozi wenu wanapeleka Milioni 100 CCM. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Yaani  Mashabiki wa Yanga Mnalipia pesa za Tofari za Ubingwa Viongozi wenu wanapeleka Milioni 100 CCM.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
SINGIDA BLACK STARS SC (@singidabssc) 's Twitter Profile Photo

ADMIN WA UTOPOLO LEO ANA KAZI YA KUFUTA COMENTS ZA WATU TU. YAANI RAIS WAO SIFA ZIMEMDHIDI NADHANI AMEONA KUWA MASHABIKI HAWATAKI MAMBO YA SIASA KWENYE TIMU YAO KASOMENI COMENTS KWENYE POST MPYA KULE INSTA. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

ADMIN WA UTOPOLO LEO ANA KAZI YA KUFUTA COMENTS ZA WATU TU.

YAANI RAIS WAO SIFA ZIMEMDHIDI NADHANI AMEONA KUWA MASHABIKI HAWATAKI MAMBO YA SIASA KWENYE TIMU YAO KASOMENI COMENTS KWENYE POST MPYA KULE INSTA.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Chicharito JR Presenter (@chicharitojr9) 's Twitter Profile Photo

KWA YANGA HII SIMBA WASHINDWE WAO KUBEBA UBINGWA MSIMU UJAO. Yanga ya Msimu huu ni mbovu kama Simba watashindwa Kubeba Ubingwa basi wasubiri Miaka 20 ijao.

KWA YANGA HII SIMBA WASHINDWE WAO KUBEBA UBINGWA MSIMU UJAO.

Yanga ya Msimu huu ni mbovu kama Simba watashindwa Kubeba Ubingwa basi wasubiri Miaka 20 ijao.