Small Business Elevator (@sb_ladder) 's Twitter Profile
Small Business Elevator

@sb_ladder

Supporting small businesses with expert insights, practical resources, and growth strategies. Your partner in entrepreneurial success. #SmallBusinessMatters

ID: 1857671772767662080

calendar_today16-11-2024 06:28:00

878 Tweet

8,8K Takipçi

36 Takip Edilen

Small Business Elevator (@sb_ladder) 's Twitter Profile Photo

Pesa sio utajiri. Chukua kila kitu alichonacho Elon, mwache na $1,000 tu. Miaka 5 baadaye utashangaa utajiri wake umeanza kukuwa tena. Utajiri wako uko kwenye mindset yako. Hata ukiwa huna pesa, lakini una mindset ya utajiri na unaifanyia kazi — tayari wewe ni tajiri.

Pesa sio utajiri.

Chukua kila kitu alichonacho Elon, mwache na $1,000 tu. Miaka 5 baadaye utashangaa utajiri wake umeanza kukuwa tena.

Utajiri wako uko kwenye mindset yako. Hata ukiwa huna pesa, lakini una mindset ya utajiri na unaifanyia kazi — tayari wewe ni tajiri.