"Serikali imewakubalia Wananchi wa Mbarali, Kwa wale ambao wamelima tutawaacha watumie ardhi hiyo mpaka watakapovuna mazao yao kisha baada ya hapo watalipwa fidia na kutafuta maeneo mengine ya kuishi.Lazima Raia wetu waishi vizuri pia hifadhi zetu zibaki salama" @KasimMajaliwa