Peter Kibatala (@pkibatala) 's Twitter Profile
Peter Kibatala

@pkibatala

ID: 2324901270

calendar_today03-02-2014 05:40:41

42 Tweet

25,25K Takipçi

24 Takip Edilen

Peter Kibatala (@pkibatala) 's Twitter Profile Photo

Ndugu RC DSM; I think U need to revisit maana ya "Maombelezo kwa siku 21". Nakushauri reflect kuhusu katazo lako la sherehe;ikibidi qualify, au fafanua. Unazuiaje sherehe:zikiwemo harusi za kesho?

Peter Kibatala (@pkibatala) 's Twitter Profile Photo

I wish my C.J would have resisted Magufuli's overbearing approach to Tax-related cases. Independence of the Judiciary is most precious

Peter Kibatala (@pkibatala) 's Twitter Profile Photo

At Central Police Station with Tundu Lissu. Purported Incitement for Article in Mawio. We cherish these battles, they feed our Souls.

Peter Kibatala (@pkibatala) 's Twitter Profile Photo

Kama ni kweli BASATA wameufungia wimbo 'WAPO' wa Nay wa Mitego; tutaenda Court. Safari hii hatutakubali msanii kuadhibiwa bila kusikilizwa.

Peter Kibatala (@pkibatala) 's Twitter Profile Photo

Haiwezekani ufungie wimbo wa msanii bila kumsikiliza akupe tafsiri ya mashairi. Mbaya zaidi huku anahojiwa na Polisi; huku wimbo unafungiwa

Peter Kibatala (@pkibatala) 's Twitter Profile Photo

Je: akishtakiwa kijinai na Mahakama ikaona hana hatia kwa kuwa wimbo hauna tatizo lolote kisheria; BASATA watamfidiaje Nay wa Mitego?

Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

#KutokaMahakamaYaKisutu: Kesi ya @YerickoNyerere_: Mdhamini asaini hati ya dhamana ya maneno ya Sh10 milioni, amekamilisha na kuachiwa huru.

#KutokaMahakamaYaKisutu: Kesi ya @YerickoNyerere_: Mdhamini asaini hati ya dhamana ya maneno ya Sh10 milioni, amekamilisha na kuachiwa huru.