Oscar Samuel (@oscarsa77549508) 's Twitter Profile
Oscar Samuel

@oscarsa77549508

ID: 1716862952890929152

calendar_today24-10-2023 17:03:47

237 Tweet

48 Takipçi

445 Takip Edilen

It's MalekoGJ. (@goodluckmalekoj) 's Twitter Profile Photo

Dakika 2 tu, unaweza kujilinda milele. Fungua WhatsApp yako sasa hivi twende pamoja hatua kwa hatua Step 1. Linda eneo lako la kijiografia WhatsApp > Settings > Privacy > Advanced Washa: "Protect IP Address in Calls" Anuani ya IP inaweza kumwambia mtu uko mtaa gani usimpe

Dakika 2 tu, unaweza kujilinda milele.

Fungua WhatsApp yako sasa hivi  twende pamoja hatua kwa hatua

Step 1. Linda eneo lako la kijiografia

WhatsApp > Settings > Privacy > Advanced
Washa: "Protect IP Address in Calls"

Anuani ya IP inaweza kumwambia mtu uko mtaa gani usimpe
It's MalekoGJ. (@goodluckmalekoj) 's Twitter Profile Photo

WhatsApp yako lock kwa alama ya kidole au uso Settings > Privacy > App Lock Washa: Biometric Lock Simu inaweza kuibiwa au kuachwa mezani. Bila hii, mtu anaweza kupekua chats zako zote na Data zikawa Mwaa Step 4: Pata taarifa ukihisiwa kuingiliwa kwa Whatsapp yako just go to

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

These people were bar owners (or were selling in a bar); they were followed inside and shot with live bullets. Watu hawa walikuwa wanauza bar walifuatwa mpaka ndani wakapigwa risasi za moto. Al Jazeera World UN Human Rights

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

The violence Samia Suluhu unleashed on Tanzanians for protesting demanding free and fair elections. #TanzaniaIsBleeding #TanzaniaMassacre

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🥲🥲 Much love and power to you Gen Z Wamewaua kama kuku lakini hamjarudi nyuma Tulitaka hata siku kadhaa tuzike tupeane pole wanatunyima miili ya ndugu zetu! Sasa wajue sisi ndo wazalendo! Tutapambana hadi tukomboe nchi Hatuwezi kuwa watumwa wa Bi Kizimkazi na Dully Mungu

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Kwa mujibu wa DJ, Dikteta Jike, hawa waandamanaji wanaoimba wimbo wetu wa Taifa ni raia wa kigeni. She could do with stf if she doesn’t fucking care!!

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hawa ndio WAANDAMANAJI ambao POLISI na USALAMA WA TAIFA (TISS) waliwaua kwa RISASI ZA VICHWA. Vijana wadogo waliokuwa wanaimba nyimbo ya TAIFA lao mbele ya heshi lao kwa mapenzi makubwa. Vijana ambao waliamua kuandamana kudai uwajibikaji na kupinga UTEKAJI unaoendelea nchini.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Haya ndio MAUAJI waliyokuwa wanafanya Jeshi la polisi kutumia BUNDUKI ZA MOTO. Haya ndio yalikuwa yanafanyika wakati NCHI IPO GIZANI. angalia watu walivyopigwa risasi hapo za kutosha. Mpaka sasa ni zaidi ya watanzania ELFU TATU WAMEKUFA. REPOST TUTAKUWEPO🫵😎

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Mitandao ilipozimwa hii ndio ilikuwa kazi ya JESHI LA POLISI. Kupiga watu , kutesa watu, kuuwa watu na kuwavunja MIGUU. Haya yalikuwa yanafanyika GIZANI wakiamini dunia haitaona haya. Na sasa wanatisha watu wasisambaze haya maovu yao. Wanafikiri kwa waliyofanya 29 october Kuna

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️It’s a massacre in Mwanza #Tanzania ‼️ Mtu asiseme hawa walistahili kuuwawa hivi kwa sababu walifanya maandamano au sijui miundombinu! Huu ni USHETANI #SamiaMustGo #SaveTanzania

kibaha_finest (@kibaha_finest) 's Twitter Profile Photo

Repost for Roma mkatoliki VS like for diamond platinum.🇹🇿🇹🇿♥️ comment something if necessary here.🇹🇿👇👇

Repost for Roma mkatoliki  VS  like for diamond platinum.🇹🇿🇹🇿♥️

 comment something if necessary here.🇹🇿👇👇
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hii hapa Video ikionyesha UKATILI WA SAMIA uliofanyika GIZANI. Dunia hii ya leo sio ya kuficha UNYAMA kama huu. Hata hilo eneo mlilofukia ndugu zetu mkienda kufukua TUTAJUA BORA MTULIE. REPOST 500 TUTAKUWEPO🫵😎

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Wananchi wanakwepa risasi kama wapo kwenye uwanja wa vita, Watanzania tumepitia mateso makubwa sana, hapa ni Tunduma, #MsiogopeTutashinda