Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (@omashtaka) 's Twitter Profile
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka

@omashtaka

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, Chuo cha Masomo ya Biashara na Sheria cha Chuo Kikuu cha Dodoma S.L.P 1733,
barua pepe :[email protected]
tovuti :nps.go.tz

ID: 1291242105881255936

linkhttp://www.nps.go.tz calendar_today06-08-2020 05:18:24

68 Tweet

200 Takipçi

4 Takip Edilen

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (@omashtaka) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Mganga akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoani Songwe, akiwa pamoja na viongozi wengine.

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemas Mwangela amesema uwepo wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka utarahisisha upatikanaji wa huduma za kisheria kwa wananchi Ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoani Songwe.

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemas Mwangela amesema uwepo wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka utarahisisha upatikanaji wa huduma za kisheria kwa wananchi 
Ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoani Songwe.
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (@omashtaka) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Mganga akisalimiana na baadhi ya viongozi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoani Songwe.

Picha ya pamoja ya viongozi mbalimbali pamoja na viongozi wa dini waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoani Songwe

Picha ya pamoja baadhi ya viongozi mbalimbali wakiwa pamoja na baadhi ya mawakili wa Serikali Ofisi ya Taifa ya Mashtaka waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoani Songwe.

Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Mganga akisaini kitabu cha wageni mara tu baada ya kuzindua Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoani Songwe.

Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Edson Makallo akiwashukuru viongozi wa dini kwa namna wanavyoliombea Taifa letu, pamoja na wadau wengine waliofika katika hafla ya uzinduzi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoani Songwe.

Madawa ya kulevya yaliyokusanywa kuteketezwa Jijini Dar es salaam ambapo zoezi hilo liliongozwa na Mhe. Jaji Edwin Kakolaki wa Mahakama Kuu, kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Mganga, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya, NEMC, na Mawakili

Mhe. Jaji Edwin Kakolaki wa Mahakama Kuu akishirikiana na Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Mganga, pamoja na taasisi nyingine ikiwemo Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya Kulevya, NEMC, leo wamefanya zoezi la uteketezaji wa madawa ya kulevya jijini Dar es salaam.

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea banda la Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kwenye Wiki ya Maadhimisho ya Siku za Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma kuanzia tarehe 6 hadi 10 Desemba, 2022

Wadau mbalimbali pamoja na wakazi wa Jiji la Dodoma wakiendelea kupata elimu juu ya masuala mbalimbali ya kisheria kutoka kwa Mawakili wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kwenye Wiki ya Maadhimisho ya Siku za Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa yanayofanyika Jijini Dodoma

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshiriki kwenye ufunguzi wa Wiki ya Maadhimisho ya Siku za Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma kuanzia tarehe 6 hadi 10 Desemba, 2022.

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Charles Kichere ametembelea banda la Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kwenye Wiki ya Maadhimisho ya Siku za Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Pauline Gekul akitoa taarifa ya Ujenzi wa jengo la Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakati wa ziara ya kutembelea Mradi huo Mkoani Shinyanga iliyofanyika tarehe 15 Machi, 2023

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Mary Makondo akifungua Mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka yanayofanyika mjini Morogoro kuanzia tarehe 17 hadi 23Machi,2023.

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akifungua Mafunzo elekezi ya awali kwa waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka yanayofanyika mjini Morogoro kuanzia tarehe 15 hadi 21 Aprili, 2023.

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mafunzo elekezi ya awali kwa waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka yanayofanyika mjini Morogoro kuanzia tarehe 15 hadi 21 Aprili, 2023.

Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Joseph Pande akitoa salamu na neno la utangulizi kwenye Mafunzo elekezi ya awali kwa waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka yanayofanyika mjini Morogoro kuanzia tarehe 15 hadi 21 Aprili, 2023.

Washiriki wa Mafunzo elekezi ya awali kwa waajiriwa wapya wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka wakifuatilia kwa umakini mada mbalimbali zinazowasilishwa kwenye mafunzo hayo yanayofanyika mjini Morogoro kuanzia tarehe 15 hadi 21 Aprili, 2023.