MZALENDO TZ🇹🇿 (@njenje_255) 's Twitter Profile
MZALENDO TZ🇹🇿

@njenje_255

GOD IS GOOD🙏

TANZANIA NCHI YANGU!🇹🇿✌️

ID: 1495657046137614336

calendar_today21-02-2022 07:10:14

8,8K Tweet

2,2K Takipçi

2,2K Takip Edilen

Nebucadineza (@nebucadineza) 's Twitter Profile Photo

Nitakesha nikikuombea kwa Mungu mwanangu bila kuchoka 🙏🏾 Ipo siku tu utakuwa huru mwanangu kisha tutaifurahia timu yetu kama zamani japo mbovu ila tulikuwa tunaipenda tu

Nitakesha nikikuombea kwa Mungu mwanangu bila kuchoka 🙏🏾

Ipo siku tu utakuwa huru mwanangu kisha tutaifurahia timu yetu kama zamani  japo mbovu ila tulikuwa tunaipenda tu
G. Mwaisabula (@g_mwaisabula) 's Twitter Profile Photo

Kutokua na follower's utake mwenyewe, mimi na follower's wangu tupo tayali kukufollow, weka handle like na urepost tukuone🥀🌹🌺

Kutokua na follower's utake mwenyewe, mimi na follower's wangu tupo tayali kukufollow, weka handle like na urepost tukuone🥀🌹🌺
vicky (@were46261) 's Twitter Profile Photo

Ndugu, mkiwa kazini kwenu jitahidi kupokea watu kwa Tabasamu na Amani, ata Kama ni police usipokee watu Kama vile unabifu nao kwani wewe sio Mahakama. Tujitahidi kutunza undugu na watu

Baraka Masuha (@barakamasuha09) 's Twitter Profile Photo

Aisee nyie mnaotushauri kwamba, "Ukimpenda mwambie ukweli ajue" mnatuponza sana. Siku hizi tukiwambia uo ukweli tunatukanwa mnoo😅

Aisee nyie mnaotushauri kwamba, "Ukimpenda mwambie ukweli ajue" mnatuponza sana. Siku hizi tukiwambia uo ukweli tunatukanwa mnoo😅
Neypaul🤎 (@neypaul01) 's Twitter Profile Photo

Haya jamani…muda wa kuwa serious ni kufolo tu na kufolo back….weka emoj tu usiweke handle🔥 Leo mpaka sa5 usiku hivyo nita mention watu 2000