Dr.Idele (PhD)🇰🇪🇹🇿🇺🇬 (@nchojiitz) 's Twitter Profile
Dr.Idele (PhD)🇰🇪🇹🇿🇺🇬

@nchojiitz

Success comes to those who never give up||MAN U 4 LIFE||THEY CALL ME GHOST RIDER 🏇||

ID: 1402082710194163712

calendar_today08-06-2021 01:59:23

8,8K Tweet

12,12K Takipçi

11,11K Takip Edilen

Yara Tanzania (@tanzaniayara) 's Twitter Profile Photo

Wekeza katika ufugaji wa kisasa kwa kutumia Feed Grade Urea. Ni lishe bora kwa ng'ombe, mbuzi na kondoo ambayo ni chanzo mbadala cha protini na pia kiuchumi ina gharama nafuu kwa sababu ina kiwango kikubwa cha protini ukilinganisha vyanzo vyengine vya asili vya protini kama soya,

Wekeza katika ufugaji wa kisasa kwa kutumia Feed Grade Urea. Ni lishe bora kwa ng'ombe, mbuzi na kondoo ambayo ni chanzo mbadala cha protini na pia kiuchumi ina gharama nafuu kwa sababu ina kiwango kikubwa cha protini ukilinganisha vyanzo vyengine vya asili vya protini kama soya,
Most Wanted JR (@uchafuzim) 's Twitter Profile Photo

Dr.Idele (PhD)🇰🇪🇹🇿🇺🇬 Mh Tundu Antiphas Lissu wala hajawadhihaki walimu bali ameongea ukweli.Kuna wafanyakazi wapo ofisi za umma lakini hawatambui haki zao.Wapo tayali kuburuzwa tuu. Mfano:-Siku ya mwenge wanalazimishwa kuhudhuria na kuhesabiwa usiku wa manane.

Van Mersey (@van_mersey) 's Twitter Profile Photo

Watu wa mikoani najua ndoto yenu kubwa ni kufika Dar es Salaam 😀😀 Hizi hapa Beach, Restaurants, Lounge kali zenye location nzuri kwa Picha kwa Bei za kizalendo kabisa Shuka Na Uzi 👇

Watu wa mikoani najua ndoto yenu kubwa ni kufika Dar es Salaam 😀😀

Hizi hapa Beach, Restaurants, Lounge kali zenye location nzuri kwa Picha kwa Bei za kizalendo kabisa 

Shuka Na Uzi 👇
Dr.Idele (PhD)🇰🇪🇹🇿🇺🇬 (@nchojiitz) 's Twitter Profile Photo

❤️❤️❤️🌹❤️❤️ Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza ongezeko la asilimia 35.1 katika kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma, kutoka Tsh 370,000 hadi Tsh 500,000 kuanzia Julai. Amesema hatua hiyo ni kutambua mchango wa wafanyakazi katika kukuza uchumi wa taifa

❤️❤️❤️🌹❤️❤️
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza ongezeko la asilimia 35.1 katika kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma, kutoka Tsh 370,000 hadi Tsh 500,000 kuanzia Julai.
 Amesema hatua hiyo ni kutambua mchango wa wafanyakazi katika kukuza uchumi wa taifa
Dr.Idele (PhD)🇰🇪🇹🇿🇺🇬 (@nchojiitz) 's Twitter Profile Photo

Mama Samia kwa moyo wa upendo na heshima, amemkaribisha Rais wa Namibia H.E Dr Netumbo Ndemupelila Nandi-Ndaitwah nchini Tanzania. Ziara hii ni ishara ya mshikamano, urafiki na ushirikiano thabiti kati ya mataifa yetu mawili. Karibu sana Tanzania!

Mama Samia kwa moyo wa upendo na heshima, amemkaribisha Rais wa Namibia <a href="/SWAPOPRESIDENT/">H.E Dr Netumbo Ndemupelila Nandi-Ndaitwah</a> nchini Tanzania. Ziara hii ni ishara ya mshikamano, urafiki na ushirikiano thabiti kati ya mataifa yetu mawili. Karibu sana Tanzania!