WANANCHI TUPO SERIOUS
Hatupigi KURA mpaka mfanye HAYA;
1. Viongozi na watendaji wa tume Wasiteuliwe na mgombea mmojawapo
2. Kura zihesabiwe kituo cha Kupigia kura na sio vinginevyo
3. Wagombea wasikatwe bila sabnu za msingi na zisizo kwenye katiba
4. Mawakala wasitolewe