Mtumba
@mtumbaenglish
Boys chase butterflies, gentlemen plant flowers
ID: 879373920125800448
26-06-2017 16:20:55
5,5K Tweet
1,1K Takipçi
601 Takip Edilen
Harry Mack is the best freestyler in the world - Hands down Harry Mack
Kwenye metaphor FRESHLIKEUHHH mnyama sana kuna line anasema something like “Shawty can pay for none unless the bill looks Caucasian” Ila kwenye storytelling VINA ni level za akina NAS hakuna wa kufananisha nae hapa bongo - I’m ready to die on that HILL
Leo AmosiNyanda alinitumia kitu WhatsApp sikuwa na MB nikaenda kununua 1.4GB ya 3k saa 1510hrs natembea nafika home saa 1525hrs yaani dk 10 tu njiani simu ikiwa mfukoni msg inaingia MB zangu zimekwisha Vodacom Tanzania Ma-billion mlionayo hayawatoshi wakuu? KMLZ