mohamed shaban (@moshaki85) 's Twitter Profile
mohamed shaban

@moshaki85

You'll never walk alone

ID: 242701277

linkhttp://www.liverpoolfc.tv calendar_today25-01-2011 11:44:17

152 Tweet

148 Takipçi

1,1K Takip Edilen

TTCL CORPORATION (@ttclcorporation) 's Twitter Profile Photo

Happy Nanenane Day! Zawadi yetu kwa Wakulima Mwaka huu, njia rahisi ya kutambua mbegu HALISI na kuepukana na Mbegu FEKI. Bure kwa Mitandao yote.

TTCL CORPORATION (@ttclcorporation) 's Twitter Profile Photo

Ndugu mteja, Rasimisha namba za ziada ulizosajili kwa alama ya vidole. Piga *106# fuata maelekezo,kwa msaada zaidi tembelea maduka yetu.

Ndugu mteja, Rasimisha namba za ziada ulizosajili kwa alama ya vidole. 
Piga *106# fuata maelekezo,kwa  msaada zaidi tembelea maduka yetu.
TTCL CORPORATION (@ttclcorporation) 's Twitter Profile Photo

Msimamizi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano,TTCL Corporation na Mamlaka ya Uendeshaji wa Mkongo Zanzibar (ZICTIA) wasaini makubaliano baada ya kufanikisha kuunganisha Mkongo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mkongo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo,

Mkuu wa Mkoa Geita Robert Gabriel na Mkuu wa Mkoa Mara Mhe. Adam Malima watembelea Banda la TTCL Corporation katika Maonesho ya Madini, Mkoani Geita#RudiNyumbaniKumenoga