Mogela ๐Ÿ•Š๏ธ (@mogelamsonga) 's Twitter Profile
Mogela ๐Ÿ•Š๏ธ

@mogelamsonga

Sijasoma | @Arsenal Dark arts โšฝ๏ธ โ€œAm praying for Mikel Arteta to succeed at Arsenal by WINNING ๐Ÿ† | ๐ŸŒฆ๏ธโ˜€๏ธโ„๏ธ๐ŸŽถ Wherever the weather the street is our home ๐ŸŽถ

ID: 1048196130427867136

calendar_today05-10-2018 13:00:06

34,34K Tweet

2,2K Takipรงi

1,1K Takip Edilen

Mogela ๐Ÿ•Š๏ธ (@mogelamsonga) 's Twitter Profile Photo

_*Kuna wachawi humu wanatamani kusema Everton mbovu! Ila kila wakikumbuka wao waliliwa sebleni kwao Tena wakiwa 10 uwanjani,, waaishia kusonya tu*_

Napenda kukosoa pindi team imeshinda Saliba amesababisha foul ambayo Palace wakachomoa ikawa 1-1 ila Kepa akasawazisha makosa ya Saliba Hii ndio inaitwa TEAM WORK

Napenda kukosoa pindi team imeshinda 

Saliba amesababisha foul ambayo Palace wakachomoa ikawa 1-1 ila Kepa akasawazisha makosa ya Saliba 

Hii ndio inaitwa TEAM WORK
Mogela ๐Ÿ•Š๏ธ (@mogelamsonga) 's Twitter Profile Photo

Ukicheza na Arsenal wasipo kufunga basi watakuchanganya watakuzongazonga tu mpaka utazidisha chenji na ukizidisha chenji hua hawanaga muda wakukurudishia

Tuma kwenye namba hii jina litasoma โ€œKepa Arrizabalaga Revueltaโ€ ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ kama kwenye lipa namba itasoma โ€œArsenal Minusoโ€