Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile
Ministry of Finance Tanzania

@mofurt

Official Page of the Ministry of Finance of Tanzania | Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Fedha Tanzania.

ID: 1392509359633096706

linkhttps://mof.go.tz calendar_today12-05-2021 15:58:11

2,2K Tweet

13,13K Takipçi

97 Takip Edilen

Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KATIKA SHERIA YA PPP Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bi. Prisca Kayombo, amewataka Watanzania kuchangamkia fursa zilizoainishwa katika Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta ya Binafsi (PPP) ili kuweza kujikwamua kiuchumi kwa mtu

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KATIKA SHERIA YA PPP

Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bi. Prisca Kayombo, amewataka Watanzania kuchangamkia fursa zilizoainishwa katika Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta ya Binafsi (PPP) ili kuweza kujikwamua kiuchumi kwa mtu
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

WIZARA YA FEDHA YATOA MAFUNZO KWA MAAFISA UNUNUZI WA TAASISI ZA UMMA. Wizara ya Fedha inaendelea kutoa mafunzo kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma na Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi na Matumizi Sahihi ya Takwimu kwa Maafisa Ununuzi wa Taasisi za Umma ili

WIZARA YA FEDHA YATOA MAFUNZO KWA MAAFISA UNUNUZI WA TAASISI ZA UMMA.

Wizara ya Fedha inaendelea kutoa mafunzo kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma na Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi na Matumizi Sahihi ya Takwimu kwa Maafisa Ununuzi wa Taasisi za Umma ili
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

DKT. NCHEMBA AKUTANA NA WALIMU WAKE WA SEKONDARI YA ILBORU Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), amekutana na walimu wake waliomfundisha katika Shule ya Sekondari Ilboru iliyopo Mkoani Arusha. Walimu hao ambao wengi ni wastaafu waliambatana na walimu waliopo sasa

DKT. NCHEMBA AKUTANA NA WALIMU WAKE WA SEKONDARI YA ILBORU
 
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. <a href="/mwigulunchemba1/">Mwigulu Nchemba, PhD</a> (Mb), amekutana na walimu wake waliomfundisha katika Shule ya Sekondari  Ilboru iliyopo Mkoani Arusha.
 
Walimu hao ambao wengi ni wastaafu waliambatana na walimu waliopo sasa
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

Serikali imesema inaendelea kuweka mikakati na mbinu mbalimbali za muda mfupi, wa kati na mrefu katika kushughulikia changamoto ya uhaba wa Fedha za Kigeni (Forex), ikiwemo kuainisha baadhi ya sekta ambazo zinaweza kuleta mapato zaidi ambayo yatatoa suluhisho la kudumu la uhaba

Serikali imesema inaendelea kuweka mikakati na mbinu mbalimbali za muda mfupi, wa kati na mrefu katika kushughulikia changamoto ya uhaba wa Fedha za Kigeni (Forex), ikiwemo kuainisha baadhi ya sekta ambazo zinaweza kuleta mapato zaidi ambayo yatatoa suluhisho la kudumu la uhaba
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

KAMPUNI BINAFSI ZAPEWA NENO UTEKELEZAJI WA TENDA ZA SERIKALI. Wamiliki na watendaji wa kampuni binafsi wanaopewa zabuni na Serikali za kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo, wametakiwa kuwa waadilifu na kufanya majukumu yao kwa wakati ili kuendelea kupata fursa nyingi

KAMPUNI BINAFSI ZAPEWA NENO UTEKELEZAJI WA TENDA ZA SERIKALI.

Wamiliki na watendaji wa kampuni binafsi wanaopewa zabuni na Serikali za kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo, wametakiwa kuwa waadilifu na kufanya majukumu yao kwa wakati ili kuendelea kupata fursa nyingi
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

WANANCHI CHALINZE WAJIPANGA KUWEKEZA Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze wameishukuru Serikali kwa kuwafikishia elimu ya fedha itakayowasaidia kujikwamua kiuchumi kwa kutumia fursa za uwekezaji ili kujiongezea kipato na kuongeza thamani ya akiba zao. Wananchi hao

WANANCHI CHALINZE WAJIPANGA KUWEKEZA

Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze wameishukuru Serikali kwa kuwafikishia elimu ya fedha itakayowasaidia kujikwamua kiuchumi kwa kutumia fursa za uwekezaji ili kujiongezea kipato na kuongeza thamani ya akiba zao.

Wananchi hao
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

WATAALAMU WA UNUNUZI NA MIPANGO WAAHIDI KUCHAPA KAZI KWA VITENDO Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango wameahidi kwenda kutekeleza kwa vitendo yote waliyojifunza kupitia mafunzo ya kuwajengea uwezo katika Sheria mpya ya Ununuzi, Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya

WATAALAMU WA UNUNUZI NA MIPANGO WAAHIDI KUCHAPA KAZI KWA VITENDO

Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango wameahidi kwenda kutekeleza kwa vitendo yote waliyojifunza kupitia mafunzo ya kuwajengea uwezo katika Sheria mpya ya Ununuzi, Sheria ya Ubia  kati ya  Sekta ya
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

WIZARA YA FEDHA YAHITIMISHA UTOAJI MAFUNZO YA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA KANDA YA KUSINI Wizara ya Fedha imehitimisha utoaji wa mafunzo kuhusu Sheria ya Ununuzi kwa Umma katika mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma. Mafunzo hayo yaliyofanyika katika Manispaa ya Mtwara Mikindani

WIZARA YA FEDHA YAHITIMISHA UTOAJI MAFUNZO YA SHERIA YA UNUNUZI WA UMMA KANDA YA KUSINI 

Wizara  ya Fedha imehitimisha utoaji wa mafunzo kuhusu Sheria ya Ununuzi kwa Umma  katika mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma.

Mafunzo hayo yaliyofanyika katika Manispaa ya Mtwara Mikindani
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

WANANCHI BAGAMOYO WAPOKEA ELIMU YA FEDHA Watumishi na wananchi wa wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, wameishukuru Serikali kwa kuwapa mafunzo ya elimu ya fedha yanayotolewa na Wizara ya Fedha kwa kuwa yamewafungua na kuwapa mwanga wa kujiandaa kustaafu wakiwa na uchumi imara.

WANANCHI BAGAMOYO WAPOKEA ELIMU YA FEDHA

Watumishi na wananchi wa wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, wameishukuru Serikali kwa kuwapa mafunzo ya elimu ya fedha yanayotolewa na Wizara ya Fedha kwa kuwa yamewafungua na kuwapa mwanga wa kujiandaa kustaafu wakiwa na uchumi imara.
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

We warmly welcome you to participate in the 2nd African Association of Accountants General (AAAG) Annual Conference. Register now at: conference.aaag.org.zm

We warmly welcome you to participate in the 2nd African Association of Accountants General (AAAG) Annual Conference.

Register now at: conference.aaag.org.zm
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, amemwakilisha Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), katika Mkutano maalumu wa viongozi, wataalamu na wadau wa mazingira kuhusu mwelekeo wa mazingira nchini, wenye kauli mbiu “Mazingira yetu na

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, amemwakilisha Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), katika Mkutano maalumu wa viongozi, wataalamu na wadau wa mazingira kuhusu mwelekeo wa mazingira nchini, wenye kauli mbiu “Mazingira yetu na
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

ELIMU YA FEDHA YAWAFIKIA WANANCHI WA MKURANGA Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha, imewasili katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha kwa wananchi itakayo wawezesha kuepukana na mikopo umiza pamoja na kujifunza kuhusu,

ELIMU YA FEDHA YAWAFIKIA WANANCHI WA MKURANGA

Timu ya Wataalamu kutoka Wizara ya Fedha, imewasili katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha kwa wananchi itakayo wawezesha kuepukana na mikopo umiza pamoja na kujifunza kuhusu,
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), ameshiriki tukio la ufunguzi wa Mkutano wa Nane wa Mawaziri wa Umoja wa Nchi za Afrika, Caribbean na Pacific wanaoshughulikia sekta ya Uvuvi na Mifugo, mkutano uliofanyika leo tarehe 11-09-2024 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. <a href="/mwigulunchemba1/">Mwigulu Nchemba, PhD</a> (Mb), ameshiriki tukio la ufunguzi wa Mkutano wa Nane wa Mawaziri wa Umoja wa Nchi za Afrika, Caribbean na Pacific wanaoshughulikia sekta ya Uvuvi na Mifugo, mkutano uliofanyika leo tarehe 11-09-2024 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), kwa niaba ya Waziri  Mkuu, Mhe. Kasim Majaliwa Majaliwa, amefunga rasmi Jukwaa la 16 la Ununuzi wa Umma la Nchi za Afrika, Jijini Arusha na kuzishauri nchi hizo za Jumuiya ya Afrika Mashariki kutumia Mifumo wa Ununuzi ya

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. <a href="/mwigulunchemba1/">Mwigulu Nchemba, PhD</a> (Mb), kwa niaba ya Waziri  Mkuu, Mhe. Kasim Majaliwa Majaliwa, amefunga rasmi Jukwaa la 16 la Ununuzi wa Umma la Nchi za Afrika, Jijini Arusha na kuzishauri nchi hizo za Jumuiya ya Afrika Mashariki kutumia Mifumo wa Ununuzi ya
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

SERIKALI NA SHIRIKA LA IFAD KUIMARISHA MIFUMO YA UPATIKANAJI WA CHAKULA Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Mashariki na Kusini, wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo ( International Fund for Agricultural Development ), Bi.

SERIKALI NA SHIRIKA LA IFAD KUIMARISHA MIFUMO YA UPATIKANAJI WA CHAKULA

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Mashariki na Kusini, wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo ( <a href="/IFAD/">International Fund for Agricultural Development</a>  ), Bi.
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

WATANZANIA ASILIMIA 80 KUFIKIWA NA ELIMU YA FEDHA Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na wadau na Taasisi zilizo chini yake imejipanga kutoa elimu ya fedha kwa Watanzania asilimia 80 ifikapo mwaka 2025 ili wawezesha wananchi kufahamu umuhimu wa akiba, bima, usimamizi wa fedha

WATANZANIA ASILIMIA 80 KUFIKIWA NA ELIMU YA FEDHA

Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na wadau na Taasisi zilizo chini yake imejipanga kutoa elimu ya fedha kwa Watanzania asilimia 80 ifikapo mwaka 2025 ili wawezesha wananchi kufahamu umuhimu wa akiba, bima, usimamizi wa fedha
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb) ametoa pole kwa Familia ya Marehemu Askofu Chediel Sendoro aliyekuwa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)- Dayosisi ya Mwanga, Mkoani Kilimanjaro, aliyefariki kwa ajali ya gari iliyotokea tarehe 09 Septemba,

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. <a href="/mwigulunchemba1/">Mwigulu Nchemba, PhD</a> (Mb) ametoa pole kwa Familia ya Marehemu Askofu Chediel Sendoro aliyekuwa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)- Dayosisi ya Mwanga, Mkoani Kilimanjaro, aliyefariki kwa ajali ya gari iliyotokea tarehe 09 Septemba,