IKO HIVI ... #furywilder3
Ngumi zilizofika :
- Tyson Fury : 148
- Deontay Wilder : 72
KnockDown 05 jumla :
- Tyson Fury alianguka mara 02
- Deontay Wilder alianguka mara 03
Ahsante Fury, Ahsante Wilder kwa Historia na Kumbukumbu nzuri.
.
BONGE MOJA LA FIGHT __ 🙌