R.Mchilo (@mchilor) 's Twitter Profile
R.Mchilo

@mchilor

ID: 1267111117609934850

calendar_today31-05-2020 15:10:54

24,24K Tweet

2,2K Takipรงi

5,5K Takip Edilen

MWAGITO (@mkuruzenzi) 's Twitter Profile Photo

Aliyemshauri Manyanya kutoa ile Dunia kuhamishia kwenye App amemuingiza chaka. Watanzania na App za kulipia ni kama Sativa na Mafwele ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Aliyemshauri Manyanya kutoa ile Dunia kuhamishia kwenye App amemuingiza chaka.

Watanzania na App za kulipia ni kama Sativa na Mafwele ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Joseph Mbilinyi (@therealjongwe) 's Twitter Profile Photo

Haya sasa urudishe familia yako toka Canada, maana sasa huna tishio la Kisiasa tena na sio Mkimbiziโ€ฆ Na yule kaka yako (RIP) ambaye ulisema aliuwawa na CCM kwenye uchafuzi wa 2020 uwaombe sasa WAMFUFUE piaโ€ฆ NB: Matako yako Wenje๐Ÿ˜Ž

Haya sasa urudishe familia yako toka Canada, maana sasa huna tishio la Kisiasa tena na sio Mkimbiziโ€ฆ 
Na yule kaka yako (RIP) ambaye ulisema aliuwawa na CCM kwenye uchafuzi wa 2020 uwaombe sasa WAMFUFUE piaโ€ฆ

NB: Matako yako Wenje๐Ÿ˜Ž
Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

KANISA KATOLIKI LAPINGA KAULI YA POLISI. Kanisa Katoliki jimbo kuu la Mwanza limezungumzia taarifa ya kupatikana Padre Nikata iliyotolewa na jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, Msikilize Mhashamu Renatus Nkwande.

BELINDA (@_belindapinda01) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Mhe. Lissu ; Je mimi nina password? Samuel Kaaya : Sijasema unazo na sijui pia. Mhe. Lissu: Password creaker je? Samuel Kaaya : Sijui na sijasema unayo.. Mhe. Lissu: Je nilifanya Hacking? Samuel Kaaya : Hukufanya. Mhe. Lissu: Waheshimiwa Majaji Tukale sasa

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

HILDA 'ATEKWA' AKIWA NA MTOTO MDOGO Ndugu Watanzania! Tumearifiwa ya kuwa mwalimu Hilda Mbinda wa Shule ya Msingi mojawapo ya Gairo, Morogoro. Alichukuliwa katika mazingira tatanishi akiwa kwake tarehe 21 Oktoba 2025. Lakini tulipopekua ukurasa wake wa Facebook, tuliona

HILDA 'ATEKWA' AKIWA NA MTOTO MDOGO 

Ndugu Watanzania! Tumearifiwa ya kuwa mwalimu Hilda Mbinda wa Shule ya Msingi mojawapo ya Gairo, Morogoro. Alichukuliwa katika mazingira tatanishi akiwa kwake tarehe 21 Oktoba 2025.

Lakini tulipopekua ukurasa wake wa Facebook, tuliona