
WAKUSOMA
@khamismussa19
ID: 1132944127514021888
27-05-2019 09:38:23
78 Tweet
99 Takipçi
94 Takip Edilen

Pemba Youth Voice Organization wakiendeleza mikutano yao Kati ya klabu za shule,walimu na midauara ya Vijana Ili kuhakikisha wanaungana pamoja katika kuleta maendeleo katika jamii zao ActionAid Tanzania


Midauara ya Vijana ndio kiungo kikubwa Cha kuibua changamoto katika jamii zao Severin Mapunda


Malengo ya school clubs moja ni kushughulikia Mambo ambayo Mara nyingi husababisha ukiukwaji wa haki za watoto katika shule Severin Mapunda


School clubs zinaweza kuwapa watoto nafasi za kushiriki katika masomo mbali mbali ya kitaaluma mashuleni ActionAid Tanzania GlobalPlatform Tanzania Omar A Salim Rukia Ibrahim Mudi hassan @saidmussa2410

Katika kuhakikisha tunaondoa upungufu wa matundu ya vyoo mashuleni leo Pemba Youth Voice Organization tumepita na Engenear baadhi shule zilizo na upungufu huo Ili kufanya tathmini ya kina na ya uhakika nasi tuweze kuipeleka kwa washika dau kuondoa tatizo hili #KodiYanguKwaElimu



Ili vijana kunufaika na lengo Zima la Uchumi wa blue lazima katika utengenezaji wa Sera,Serekali washuke Hadi ngazi za shehia na kukutana na WANACHI wa kada zote kuchukuwa maoni yao Severin Mapunda Akichangia neno kwa serekali kupitia #JukwaaLaFursaKwaVijanaPemba





Rahakaraha: Kosa halisuluhishwi na kosa mkalla mwambodze @jarednyambega @Kadzondhundhi #RahaKaraha #RadioNumberOne

Rahakaraha: Ikiwa utamshuku mpenzi wako kwa mambo ya kuambiwa hilo penzi halitadumu mkalla mwambodze بث 🧹 كؤد خصم ايهرب ايهيرب Ndhundhi Jared Nyambega Ekwinini #RahaKaraha #RadioNumberOne




Women are the main engine in the blue economy in zanzibar. ~captein Hamad Bakari #ZanzibarYouthSummit2021 Irish Embassy Dar Pamoja Youth Initiative USAIDTanzania Khadija O. Kayanda
