Kerika Vincent Olelemoyan
@kerika_vincent
Diplomat | SDGs Champion | Project Manager| Prime Minister @IRDP 2019/2020 | YLF Class 2022 @FESTanzania | Global Peace Ambassador
ID: 900243427044020226
23-08-2017 06:28:53
397 Tweet
437 Takipçi
428 Takip Edilen
Sitaki uchokozi na washabiki wa Simba ila nimesema tu niwasalimie 😊Imani Henrick Luvanga
Pongezi kwa Wizara ya Kilimo kwa Bajeti nzuri 2023/24 imeonesha Dira na Nia Njema kwa serikali katika Mapinduzi ya Kilimo hasa kwenye nyanja ya Umwagiliaji, uzalishaji wa mbegu, kuongeza mnyororo wa dhamani n.k Hussein M Bashe Anthony Mavunde #BBT #agenda1030
Yangaaaaa 😂😂😂😂Young Africans SC Salamu nakupa nipo Machungani bado Imani Henrick Luvanga
I am overwhelmed with joy to be honored by the President of the Republic of Kenya, H.E. William Ruto with the Youth Leadership Founder's Award at the Youth Energy Summit here in Nairobi I look forward to working with Youth4Climate and more partners to empower youth in this sector
Ndugu zangu Wakenya sio kila wakati Amani inatafutwa kwa Fujo, vurugu, maandamano, adhari zake zinazidi kuwadumaza, kuwakandamiza na kuwarudisha hatua tatu nyuma kutoka pale mlipokuwepo #Kenyaniyenu #Ilindeniwenyewe Citizen TV Kenya NTV Kenya Capital FM Kenya DCI KENYA