kadogooalfonce (@kadogooalfonce) 's Twitter Profile
kadogooalfonce

@kadogooalfonce

YOUR NEVER WORK ALONE

LIVERPOOL FUN ๐Ÿ’ช

ID: 1205205287919071235

calendar_today12-12-2019 19:18:43

49,49K Tweet

4,4K Takipรงi

1,1K Takip Edilen

ZITATU (@max_zitatu) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke anaweza kuvuka bahari na kupanda milima ili tu akamuone mwanaume anayempenda.. Unajua nini kaka, hakikisha wewe sio hiyo bahari anayoivuka au huo mlima anaoupanda..

M.D (๐Ÿ…จ) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Alikuja mteja dukani akaniuliza kama anaweza kuwa analipia bidhaa kidogo kidogo kisha akimaliza ndipo achukue, Nikamwambia inawezekana. Katika kuongea ongea Brother akawa ananielezea kuwa anaanza maisha upya. Alipata ajali baada ya hapo akapoteza kila kitu mpaka kitanda aliuza.

wezzey (@kasimuabuu98) 's Twitter Profile Photo

KAMPUNI๐Ÿ‘‰ : FANSPORT๐Ÿ“Œ ODDS 5.6*โšฝ๏ธ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ CODE๐Ÿ‘‰ : JYABL ๐ŸงฟHauna account ya FANSPORT? Jisajili๐Ÿ‘‡ rb.gy/152i5i Application๐Ÿ‘‡ tinyurl.com/APP-FANSPORT-Iโ€ฆ Promocode : INJINIA Bonus mpaka 380K โš ๏ธTafadhali zima VPN unapo jisajili STAKE HIGH WIN BIG๐Ÿ’ฐ isSUe๐Ÿง bOy

KAMPUNI๐Ÿ‘‰ : FANSPORT๐Ÿ“Œ
ODDS 5.6*โšฝ๏ธ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

CODE๐Ÿ‘‰ : JYABL

๐ŸงฟHauna account ya FANSPORT?

Jisajili๐Ÿ‘‡
rb.gy/152i5i

Application๐Ÿ‘‡
tinyurl.com/APP-FANSPORT-Iโ€ฆ

Promocode : INJINIA

Bonus mpaka 380K
โš ๏ธTafadhali zima VPN unapo jisajili

STAKE HIGH WIN BIG๐Ÿ’ฐ
<a href="/the_engineer777/">isSUe๐Ÿง bOy</a>
M.D (๐Ÿ…จ) (@regantesla_) 's Twitter Profile Photo

Tafuta mambo yakufanya, Kichwa chako kijae changamoto za maisha kila muda uwe na maswali ya kutafutia majibu. Baada ya hapo huwezi kupata nafasi kuteswa na masuala ya Mapenzi.

Polycarp The Bibliophile (@polycarpmdm) 's Twitter Profile Photo

WATU WEUSI TUNATAKIWA KUTAWALIWA NA UPYA. Hii naomba itokee hata Kilazima, Maana ni Wazi sisi tumeshindwa kujiendesha, Ngoja nikupe sababu: SABABU YA KWANZA 1 - Tazara ilijengwa kwa Miaka mitano 1970-1975. - Kwa miaka hiyo mitano, Tena kipindi ambacho Teknolojia ya Ujenzi

WATU WEUSI TUNATAKIWA KUTAWALIWA NA UPYA.

Hii naomba itokee hata Kilazima, Maana ni Wazi sisi tumeshindwa kujiendesha, Ngoja nikupe sababu:

SABABU YA KWANZA 1

- Tazara ilijengwa kwa Miaka mitano 1970-1975.
- Kwa miaka hiyo mitano, Tena kipindi ambacho Teknolojia ya Ujenzi
Remmy Reuben (@remmy_reub84179) 's Twitter Profile Photo

Kwanini wakiwa wanamwaga zege na kufanya big construction ๐Ÿšง ya hizi mambo kama madaraja wanachinja nguruwe na kafara za kila aina???? Kuna siri gani mazee

Kwanini wakiwa wanamwaga zege na kufanya big construction ๐Ÿšง ya hizi mambo kama madaraja wanachinja nguruwe na kafara za kila aina???? Kuna siri gani mazee
โค๏ธ Miss Platnumz โค๏ธ๐Ÿ’ƒ๐Ÿฝ๐Ÿงš๐Ÿปโ€โ™€๏ธโฃ๏ธ (@zoetjesheeftx) 's Twitter Profile Photo

AFRIKA, AFRIKA, AFRIKA TUNASHIDA GANI? Leo tuangalie kidogo kuhusu KONGO ileee ya Kinshasa kwa akina MAYELE. KONGO inautajiri wa kutosha haswa ule wa madini, ni nchi iliyopambwa na madini ya aina tofauti tofauti ikiwemo dhahabu, almasi, shaba, zinc, tin, uraniu n.k WAKONGO ni

AFRIKA, AFRIKA, AFRIKA TUNASHIDA GANI?
Leo tuangalie kidogo kuhusu KONGO ileee ya Kinshasa kwa akina MAYELE.

KONGO inautajiri wa kutosha haswa ule wa madini, ni nchi iliyopambwa na madini ya aina tofauti tofauti ikiwemo dhahabu, almasi, shaba, zinc, tin, uraniu n.k 

WAKONGO ni
kobiko (@iammwanjala) 's Twitter Profile Photo

Hapa yupo Anne Makinda akiwa Spika wa Bunge, Mizengo Pinda akiwa Waziri Mkuu, Job Ndugai akiwa Naibu Spika halafu kuna Tundu Lissu akiwa Mbunge.

Hapa yupo  Anne Makinda akiwa Spika wa Bunge, Mizengo Pinda akiwa Waziri Mkuu, Job Ndugai akiwa Naibu Spika halafu kuna Tundu Lissu akiwa Mbunge.
kadogooalfonce (@kadogooalfonce) 's Twitter Profile Photo

Asa ivi hii nchi hata kupeana mimba imekua anasa make akienda hospital tena usiombe afanyiwe oparetion utajuta kumpa mimba uyo mwanamke make bila laki6+ mkeo hatoki apo,. Sasa kwnn nimchukie jembe T ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

FUNGA MWAKA NA TUNDU LISSU Wengi tulitamani kwenda gerezani Ukonga kumsalimia Mhe Tundu AM Lissu, lakini ilishindikana. Hatukuruhusiwa kuingia gerezani. Tuliishia getini, tukarudi nyumbani kinyonge. Dola imewekwa utaratibu mgumu sana, na kuanzia Desemba 5 hadi leo, hali imekuwa

FUNGA MWAKA NA TUNDU LISSU

Wengi tulitamani kwenda gerezani Ukonga kumsalimia Mhe Tundu AM Lissu, lakini ilishindikana. Hatukuruhusiwa kuingia gerezani. Tuliishia getini, tukarudi nyumbani kinyonge.

Dola imewekwa utaratibu mgumu sana, na kuanzia Desemba 5 hadi leo, hali imekuwa
Hancy Machemba (@hancymachemba) 's Twitter Profile Photo

Ktk hatua tulizopiga kutoka 2025 kuingia 2026 tusiasau kamwe hatua walizochukua ndugu zetu wote waliouwawa October 2025. Tuwakumbuke kwenye maombi yetu kila siku na kuwashukuru kwa kujitoa kwao kupigania HAKI ktk taifa hili. Walitamani tuwe pamoja mwaka mpya ila imeshindikana.

Ktk hatua tulizopiga kutoka 2025 kuingia 2026 tusiasau kamwe hatua walizochukua ndugu zetu wote waliouwawa October 2025.
Tuwakumbuke kwenye maombi yetu kila siku na kuwashukuru kwa kujitoa kwao kupigania HAKI  ktk taifa hili. Walitamani tuwe pamoja mwaka mpya ila imeshindikana.
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Happy new year Mr Chairman.. tunakupenda. Umelipa na unaendelea kulipa gharama kubwa, lakini maumivu yako yataleta, Uhuru, haki na maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote.. 2026, utakua mwaka wa ushindi mkubwa kwa Watanzania.

Happy new year Mr Chairman.. tunakupenda.

Umelipa na unaendelea kulipa gharama kubwa, lakini maumivu yako yataleta, Uhuru, haki na maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote..

2026, utakua mwaka wa ushindi mkubwa kwa Watanzania.