Helper🇹🇿 (@help3ry) 's Twitter Profile
Helper🇹🇿

@help3ry

Beekeper🐝
All-time 🏆

@Arsenal

ID: 1279014260102881280

calendar_today03-07-2020 11:29:34

13,13K Tweet

3,3K Takipçi

3,3K Takip Edilen

Watu Mikeka (@watu_mikeka) 's Twitter Profile Photo

Wakati tunasubiri Juventus ashinde tuchukue 260K tukate 70K tuweke hili jamvi la kuanzia Jumanne kesho hadi Jumamosi Naomba watu 130 tufe na huu mkeka. Weka buku 7K ule 800K tu RETWEET NIKUTUMIE CODE DM MAPEMA ZAIDI B4 ODDS ZISHUKE 👉Hakikisha umenifollow

Wakati tunasubiri Juventus ashinde tuchukue 260K tukate 70K tuweke hili jamvi la kuanzia Jumanne kesho hadi Jumamosi 

Naomba watu 130 tufe na huu mkeka. Weka buku 7K ule 800K tu

RETWEET NIKUTUMIE CODE DM MAPEMA ZAIDI B4 ODDS ZISHUKE

👉Hakikisha umenifollow
BiDi🤝 (@raphaeligp) 's Twitter Profile Photo

Katika utafutaji wako punguza lawama kwa wengine maana hufahamu muda huo amekubwa na changamoto gani? Usisahau wakati mgumu wengi watakaa mbali na wewe na wakati wa starehe watarudi. 🤞🏾

Mswahili___💡 (@mswahili___) 's Twitter Profile Photo

Jirani hapa jana walilewa wakachinja mbuzi usiku wakanywa supu ,wameamka leo Mbuzi yupo ila mbwa ndio hamuoni 😀😀😀😀😀

BiDi🤝 (@raphaeligp) 's Twitter Profile Photo

MAMBO KUMI AMBAYO HAYAHITAJI MAZOEA. 1. NDOA 2. MAHUSIANO 3. PESA 4. BIASHARA 5. URAFIKI 6. UDEREVA 7. USALITI 8. KUTEMBEA NA MUME AU MKE WA MTU 9. KAMARI 10. UUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA NA VITU HARAMU.

Ambele Young (@ambele_young) 's Twitter Profile Photo

Siku ukivaa hovyo hovyo ndiyo unakutana na classmates wako, mpaka unatamani uwaeleze kwamba jamani msinione hivi huwa napendeza sana tu 😂😂😂🙌🏾