Hance Njobelo (@hanspuff) 's Twitter Profile
Hance Njobelo

@hanspuff

A proud father, innovator Agripreneur, Creative.

ID: 178797591

linkhttp://www.360connects.co.tz calendar_today15-08-2010 18:36:04

9,9K Tweet

1,1K Takipçi

975 Takip Edilen

Hance Njobelo (@hanspuff) 's Twitter Profile Photo

Kuna hizi kauli zinakua famous sana. “Uhuru usio na mipaka na uhuru bila wajibu.” Najiuliza hivi hii ni kwa raia wote yaani watawaliwa na watawala? Au hii ni ya watawaliwa halafu watawala wana yao? Maana report ya CAG sijaona yeyote akiwajibishwa baada kutotimiza wajibu.. 😳😳

John kalage 🇹🇿 (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Msanii wa Kike mwenye tuzo nyingi zaidi africa mashariki. Sio mwingine ni Lady JayDee Miaka 25 kwa kasi ileile, Legend.🐐 Tar 13 June wote tutakua Super Dome Masaki. Piga 0658 556 557 kufanya booking ya meza. Hata mimi nitakuwepo na shati langu.

Msanii wa Kike mwenye tuzo nyingi zaidi africa mashariki.

Sio mwingine ni <a href="/JideJaydee/">Lady JayDee</a>
Miaka 25 kwa kasi ileile, Legend.🐐

Tar 13 June wote tutakua Super Dome Masaki. 

Piga 0658 556 557 kufanya booking ya meza. 

Hata mimi nitakuwepo na shati langu.
MNYIKA John John (@jjmnyika) 's Twitter Profile Photo

Jana nikiwa njiani kutoka kwenye mkutano wa hadhara wa Maswa kuelekea mkutano wa Shinyanga Mjini niliamua kuchepuka kwenda kijiji cha Negezi Wilaya ya Kishapu kudhuru kaburi la Hayati Mohamed Ali Makani almaarufu Bob Nyanga Makani Katibu Mkuu wa Kwanza Chadema Tanzania na Mwenyekiti

Hance Njobelo (@hanspuff) 's Twitter Profile Photo

Ka yeyote mwenye ufahamu please enlight me kwenye manufaa tunayopata kaama Taifa kwa Dr janabi kushika hii nafasi.. NB: I need to learn na sio siasa

Hance Njobelo (@hanspuff) 's Twitter Profile Photo

East Africa 😭😭😭😭😭 How did we reach here..! Mara kenya, mara tanzania, mara uganda kote ishu ni ile ile upinzani/uongozi/madaraka.