Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile
Habari za UN

@habarizaun

Akaunti rasmi ya Habari za Umoja wa Mataifa yakuletea habari za punde, habari za kiutu na uchambuzi wa kina kutoka New York na Mashinani. 🏆 Shaaban Robert 2021

ID: 1337539576987062272

linkhttp://news.un.org/sw/ calendar_today11-12-2020 23:28:06

8,8K Tweet

3,3K Takipçi

298 Takip Edilen

Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Mwanaharakati kijana wa tabianchi kutoka Tanzania Laurel Kivuyo ambaye alishiriki mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Maji anaeleza kile alichoondoka nacho kutoka katika mkutano huu wa siku 4 uliomalizika tarehe 24 mwezi Machi 2023. #WaterAction