
GreenFaith Tanzania
@greenfaithtz
A grassroots, multifaith movement rising for climate justice
#Faiths4Climate #StopEACOP #KataaBombaLaMafutaLaAfrikaMasharik#StopTotalEnergies#KeepOilInTheGrond
ID: 1790808243825971200
http://greenfaith.org 15-05-2024 18:15:46
905 Tweet
182 Takipçi
10 Takip Edilen

Katika dini zetu, ardhi ni zawadi si bidhaa. Lakini leo, mamilioni wanakimbia makazi kwa sababu ya ukame, mafuriko, na uchimbaji haramu wa mafuta. Baraka za ardhi zimegeuka laana. Ni wakati wa watu wa imani kusimama imara kwa dunia yetu. Meryne Warah #Faiths4Climate #StopEACOP
