@gallafta
Just for fun
ID: 1656458446240116737
calendar_today11-05-2023 00:38:18
3,3K Tweet
30,30K Takipçi
13,13K Takip Edilen
18 days ago
After a night out, I’d rather hear “ulizima jana” than “ulichoma jana”
Kenya unasalimia watchman siku tatu zikifuatana, siku ya nne unakuwa na deni yake ya soda
17 days ago
Huyu ameniuliza “what’s your poison set?” nikasema rat rat, sai sioni dp
University life is only fun kama kwenu mko na pesa
Mimi naye siwezi jipost juu najua ni memes mnataka
Hizo high end restaurants wakiona umeorder food ya less than 1000/= huwa wanakuserve pamoja na kijiko kubwa ndio umalize haraka utoe poverty huko
Hizo big friend groups is where the denja is. Snake park mzima 💀💀
16 days ago
Kila ploti iko na yule msee mmoja hatakangi stori za watu
Sober, Celibate, Silent and Selective
Ukikaa kwa window seat, have the common decency of slightly opening the window for ventilation, thanks!
15 days ago
As a person who fears worms, I choose to wake up very late when they are all caught
A man only needs these plus 1 black trousers and you will never see him buying clothes again 😂
Adding “na si kwa ubaya” at the beginning of the sentence to prepare the audience for the ubaya
😂 Mnataka relationships lakini hamtaki the rules and discipline that comes with it
TikTok is one app I’m totally OK with not knowing what happens there
Mtu akikuuliza ukoaje sema uko POA juu hakuna kitu atakusaidia nayo ata ukimweleza shida zako
14 days ago
Everyday adults who soak bread in tea walk among us and the government is doing nothing about it
As a man, hufai kuwa msoft. When trouble comes, face it with courage. Usiende kulewa juu uko na stress, utajipata umeharibu mambo ajab
Sprinkling a “hakuna color ingine?” when the price is high >>>
Ushai perform kwa bed adi dem akakuita small meeting kukuuliza “will you ever leave me?” 😂💀