Huu ujasiri wa waumini wa GWAJIMA. 🔥🫡
KILA WEEK WANAONGEZEKA KWA IDADI. NATEGEMEA NEXT WEEK WATAKUWA WENGI ZAIDI.
LEO HAWAJAOGOPA BUNDUKI WALA MABOMU YA MACHOZI. KWELI HAKI HAIOMBWI, HAKI INAPIGANIWA.
TUTAKUWEPO🫵😎
Huu ujasiri wa waumini wa GWAJIMA usife hata siku moja. Haya matendo yawe MBOLEA ya kuchochea hasira istawi ndani ya Vifua vyao.
Next week tena jitokezeni kwa wingi kudai haki yenu. Ukiangalia video utaona POLISI walikuwa wanaogopa kabisa.
Kuna kauli inasemaga "Wananchi wa