Gabriel_ (@el_zipo169) 's Twitter Profile
Gabriel_

@el_zipo169

ID: 1689252243353042946

calendar_today09-08-2023 12:29:01

344 Tweet

646 Takipรงi

2,2K Takip Edilen

Sanagu Masanja (@sanaguweb) 's Twitter Profile Photo

Dunia ya sasa inakuhitaji uwe na ujuzi mwingi out na hiyo Elimu uliyopata darasani, tuwe wabunifu na tujiongeze degree au diploma zetu hazitoshi Kataa u jobless jifunze hizi skills 10 zitakusaidia ๐Ÿ‘‰ Website design ๐Ÿ‘‰ App development ๐Ÿ‘‰ Photo editing

Salym (@salymdev) 's Twitter Profile Photo

Kwa wale junior developers ambao mnafanya mobile app development kwa Flutter. Msiishie kwenye kujua flutter pekee, fanyeni na backend zake either kwa NodeJs au Laravel. Soma APIs elewa jinsi gani unaweza interact nazo katika app yako. Soko ni gumu sana ukiwa nusu nusu. ๐Ÿ‘

Trojan Horse ๐ŸŽญ (@anon_codex) 's Twitter Profile Photo

Semaa pesa zipo online Pesa zipo online Jifunze Web Development Jifunze App Development Kumbuka mambo magumu wanajua wachache Jitume kaza buti Usisahau kumuomba mungu pia

๐™ถ๐™ฐ๐™ฑ๐šˆ ๐™ป๐™พ๐š…๐™ด๐š‚ ๐šƒ๐™ด๐™ฒ๐™ท 6.0 (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

โž™ Follow Hurupay , Like kisha Repost hii Post โž™ Download App kwa Playstore au Appstore kisha Jisajili na Verify..Then tuma screenshot kwa ๐Ÿ‘‰๐Ÿพ wa.link/7ra0wc โงฉNB: Nafasi ni 100 tu. Wahi #HuruPayTanzania #MadiniYaGaby