C H A P I T O
@el_chapitona
Passionate Achiever Captured In Action.
ID: 1487326270140653571
29-01-2022 07:26:45
11,11K Tweet
3,3K Takipçi
3,3K Takip Edilen
Klabu ya Arsenal imekamilisha usajili wa Nyota Martin Zubimendi 🇪🇸 kwa ada ya Paundi Milioni 51 akitokea Real Sociedad Kiungo huyo amesaini mkataba wa miaka 5 na amesema: "Nimejiunga na timu changa, iliyo na ari kubwa na yenye malengo makubwa." Chanzo Fabrizio Romano
🚨 ARSENAL HAWAPOI Baada ya kumnasa Kiungo Martin Zubimemdi, Klabu ya Arsenal haipoi Kwa sasa ipo mbioni kukamilisha usajili wa Mshambuliaji Viktor Gyökeres kutokea Sporting CP Inatajwa kua wamekubaliana maslahi binafsi kati yao na mshambuliaji huyo. Chanzo Transfer News Live