Afya Yangu 💊 (@dr_simon01) 's Twitter Profile
Afya Yangu 💊

@dr_simon01

God 1st || Health Content creator || Elumu Ya Afya,
#MtuNiAfya #AfyaYangu

ID: 1656369907628404760

linkhttps://biolinks.cc/afya calendar_today10-05-2023 18:46:34

11,11K Tweet

4,4K Takipçi

498 Takip Edilen

Afya Yangu 💊 (@dr_simon01) 's Twitter Profile Photo

FANGASI YA UKENI (Vagina Candidiasis) ni tatizo kubwa Kwa Dada zetu,zipo Sabab Nying zinazoweza Kupelekea tatiz hilo litokee kam ✓Matumiz ya dawa ya aina Steroids Kwa Mda Mrefu ✓Usafi wa mtu binafs ✓Kuwa na Maradhi Mengin kam HIV, DM ✓Matumiz ya vyakula vyenye sukari Kwa wing

FANGASI YA UKENI (Vagina Candidiasis) ni tatizo kubwa Kwa Dada zetu,zipo Sabab Nying zinazoweza Kupelekea tatiz hilo litokee kam
✓Matumiz ya dawa ya aina Steroids Kwa Mda Mrefu
✓Usafi wa mtu binafs
✓Kuwa na Maradhi Mengin kam HIV, DM
✓Matumiz ya vyakula vyenye sukari Kwa wing
Afya Yangu 💊 (@dr_simon01) 's Twitter Profile Photo

GONORRHEA( KISONONO) Ni Moja ya Magonjwa ya Zinaa & huambukizwa Kwa njia ya Kujamiana au Kufanya Oral sex 👉🏾Ugonjwa huu husababishwa na bacteria hutambulika Kwa Jina la NEISSERIA GONORRHEA Follow my TL account for health Education @dr_simoni , Don't judge Uzi 🧵🪡 iyo apo

GONORRHEA( KISONONO) Ni Moja ya Magonjwa ya Zinaa & huambukizwa Kwa njia ya Kujamiana au Kufanya Oral sex
👉🏾Ugonjwa huu husababishwa na bacteria hutambulika Kwa Jina la NEISSERIA  GONORRHEA 

Follow my TL account for health Education @dr_simoni , Don't judge
Uzi 🧵🪡 iyo apo
Afya Yangu 💊 (@dr_simon01) 's Twitter Profile Photo

📍Episode 1 Thread 🧵🪡 => JE MATUMIZI/ UVUTAJI WA SIGARA INAWEZA KUWA SALAMA KWA AFYA YAKO ? => Bila Kusahau ku~ Like 🔁 , RT🔀 ifike mbali => Follow @dr_simoni Kwa tips za Afya, bila kumsahau kumfolo 𝗗𝗮𝗶𝗹𝘆 𝗛𝗲𝗮𝗹𝘁𝗵 𝗧𝗶𝗽𝘀💊 Kwa Dondoo za Afya ya Mama Na Mtoto

📍Episode 1 

Thread 🧵🪡

=> JE MATUMIZI/ UVUTAJI WA SIGARA INAWEZA KUWA SALAMA KWA AFYA YAKO ?

=> Bila Kusahau ku~ Like 🔁 , RT🔀  ifike mbali

=&gt; Follow @dr_simoni Kwa tips za Afya, bila kumsahau kumfolo <a href="/ChildMaternal/">𝗗𝗮𝗶𝗹𝘆 𝗛𝗲𝗮𝗹𝘁𝗵 𝗧𝗶𝗽𝘀💊</a>  Kwa Dondoo za Afya ya Mama Na Mtoto
Dr. Grace Mapunda (@drgracemapunda) 's Twitter Profile Photo

Swipe for more >>>> AFYA YA AKILI Kumekuwa na maswali mengi juu ya magonjwa ya akili. Ni muhimu kufahamu kuhusu AFYA YA AKILI na UGONJWA WA AKILI. Karibu tuendelee kujifunza zaidi ili kuvunja unyanyapaa wa AFYA YA AKILI. #afyayaakiliniafya #sononakazini📚

Swipe for more &gt;&gt;&gt;&gt; AFYA YA AKILI

Kumekuwa na maswali mengi juu ya magonjwa ya akili. 

Ni muhimu kufahamu  kuhusu AFYA YA AKILI na UGONJWA WA AKILI.

Karibu tuendelee kujifunza zaidi ili kuvunja unyanyapaa wa AFYA YA AKILI.

#afyayaakiliniafya
#sononakazini📚
oncointelligence (@oncointelligenc) 's Twitter Profile Photo

Honored to receive this certificate of appreciation from GCCA for our colorectal cancer awareness campaign in Tanzania. Thank you for support Global Colon Cancer Association #ColorectalCancerAwareness #BlueHatBowTie

Honored to receive this certificate of appreciation from GCCA for our colorectal cancer awareness campaign in Tanzania.
Thank you for support
<a href="/GlobalCRC/">Global Colon Cancer Association</a>

#ColorectalCancerAwareness #BlueHatBowTie
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

HIVI NDIVYO UCHUNGUZI WA TEZI DUME UNAVYOFANYIKA —USIPOJUA HILI, UNAWEZA UKAJUTA BAADAYE...! Kuna kitu wanaume wengi hawapendi kusikia, lakini ni muhimu sana kwa afya yao, Unaweza kuwa na tatizo la tezi dume bila kujua. Open Thread: ⤵

HIVI NDIVYO UCHUNGUZI WA TEZI DUME UNAVYOFANYIKA —USIPOJUA HILI, UNAWEZA UKAJUTA BAADAYE...!

Kuna kitu wanaume wengi hawapendi kusikia, lakini ni muhimu sana kwa afya yao, Unaweza kuwa na tatizo la tezi dume bila kujua.

Open Thread: ⤵
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

SIRI NDOGO lakini yenye NGUVU KUBWA, ya kukusaidia kudumu kwa muda mrefu kitandani —Bila kutegemea hata tembe moja ya Booster. —Ukiifahamu SIRI hii, Tatizo la Nguvu za Kiume kwako Litabaki Historia. FUATILIA ELIMU HII KWA MAKINI: OPEN THREAD: ⤵

SIRI NDOGO lakini yenye NGUVU KUBWA, ya kukusaidia kudumu kwa muda mrefu kitandani —Bila kutegemea hata tembe moja ya Booster.

—Ukiifahamu SIRI hii, Tatizo la Nguvu za Kiume kwako Litabaki Historia.

FUATILIA ELIMU HII KWA MAKINI: OPEN THREAD: ⤵
The mandevu (@ze_mandevu) 's Twitter Profile Photo

Popote ulipo onyesha upendo kwa Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu kwa ku-repost hizi salamu zimfikie mpaka pale alipo.✌️

Popote ulipo onyesha upendo kwa Mheshimiwa Tundu Antiphas Mughwai Lissu kwa ku-repost hizi salamu zimfikie mpaka pale alipo.✌️
Dr. Grace Mapunda (@drgracemapunda) 's Twitter Profile Photo

Swipe for more >>>> AFYA YA AKILI Kumekuwa na maswali mengi juu ya magonjwa ya akili. Ni muhimu kufahamu kuhusu AFYA YA AKILI na UGONJWA WA AKILI. Karibu tuendelee kujifunza zaidi ili kuvunja unyanyapaa wa AFYA YA AKILI. #afyayaakiliniafya #sononakazini📚

Swipe for more &gt;&gt;&gt;&gt; AFYA YA AKILI

Kumekuwa na maswali mengi juu ya magonjwa ya akili. 

Ni muhimu kufahamu  kuhusu AFYA YA AKILI na UGONJWA WA AKILI.

Karibu tuendelee kujifunza zaidi ili kuvunja unyanyapaa wa AFYA YA AKILI.

#afyayaakiliniafya
#sononakazini📚
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

Ulikuwa Nae Kitandani —Lakini Uume Ukakusaliti! Usiogope – Huu Ndio Mwongozo Wa Mapinduzi Ya Nguvu Za Kiume Bila Dawa! Embu Vuta Picha...!!! Kisha Pitia Misingi Mikuu (5) Ya Ukombozi Wa Afya Yako Ya Uzazi— HAPO CHINI. Open Thread: ⤵

Ulikuwa Nae Kitandani —Lakini Uume Ukakusaliti! Usiogope – Huu Ndio Mwongozo Wa Mapinduzi Ya Nguvu Za Kiume Bila Dawa!

Embu Vuta Picha...!!! Kisha Pitia Misingi Mikuu (5) Ya Ukombozi Wa Afya Yako Ya Uzazi— HAPO CHINI.

Open Thread: ⤵
Dr. Grace Mapunda (@drgracemapunda) 's Twitter Profile Photo

Swipe for more >>>> AFYA YA AKILI Kumekuwa na maswali mengi juu ya magonjwa ya akili. Ni muhimu kufahamu kuhusu AFYA YA AKILI na UGONJWA WA AKILI. Karibu tuendelee kujifunza zaidi ili kuvunja unyanyapaa wa AFYA YA AKILI. #afyayaakiliniafya #sononakazini📚

Swipe for more &gt;&gt;&gt;&gt; AFYA YA AKILI

Kumekuwa na maswali mengi juu ya magonjwa ya akili. 

Ni muhimu kufahamu  kuhusu AFYA YA AKILI na UGONJWA WA AKILI.

Karibu tuendelee kujifunza zaidi ili kuvunja unyanyapaa wa AFYA YA AKILI.

#afyayaakiliniafya
#sononakazini📚
𝗗𝗮𝗶𝗹𝘆 𝗛𝗲𝗮𝗹𝘁𝗵 𝗧𝗶𝗽𝘀💊 (@childmaternal) 's Twitter Profile Photo

Katika kipindi hiki cha mvua ya mara kwa mara zingatia yafuatayo Epuka kumwacha mtoto pekee yake nyumbni bila mwangalizi Weka mazingira ya nyumbni kuwa rafiki kwa watoto wadogo kwa kufunika ndoo za maji zilizowaz Usimwache mtoto achezee Maji

Katika kipindi hiki cha mvua ya mara kwa mara zingatia yafuatayo

Epuka kumwacha mtoto pekee yake nyumbni bila mwangalizi

Weka mazingira ya nyumbni kuwa rafiki kwa watoto wadogo kwa kufunika ndoo za maji zilizowaz

 Usimwache mtoto achezee Maji
𝗗𝗮𝗶𝗹𝘆 𝗛𝗲𝗮𝗹𝘁𝗵 𝗧𝗶𝗽𝘀💊 (@childmaternal) 's Twitter Profile Photo

𝐃𝐀𝐋𝐈𝐋𝐈 𝐇𝐀𝐓𝐀𝐑𝐈𝐒𝐇𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐌𝐀 𝐌𝐉𝐀𝐌𝐙𝐈𝐓𝐎 ⤵️ → Maumivu Makali Chini ya Kitovu (tumboni) → Kutokwa na mbichi/ mabonge mabonge (fresh/clot blood) Ukeni → Maumivu Makali ya Kichwa/ Kizunguzungu na Kushindwa Kuona vizuri Naomba, Rt yako

𝐃𝐀𝐋𝐈𝐋𝐈 𝐇𝐀𝐓𝐀𝐑𝐈𝐒𝐇𝐈 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐌𝐀 𝐌𝐉𝐀𝐌𝐙𝐈𝐓𝐎 ⤵️

→ Maumivu Makali Chini ya Kitovu (tumboni)

→ Kutokwa na mbichi/ mabonge mabonge (fresh/clot blood) Ukeni 

→ Maumivu Makali ya Kichwa/ Kizunguzungu na Kushindwa Kuona vizuri 

Naomba, Rt yako
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

TANGAWIZI— SIO KWA CHAI TU, INA NGUVU KUBWA KULIKO UNAVYOFIKIRIA...! Hakikisha Huruki Neno Hata Moja Kwenye Uzi Huu' Open Thread ⤵

TANGAWIZI— SIO KWA CHAI TU, INA NGUVU KUBWA KULIKO UNAVYOFIKIRIA...!

Hakikisha Huruki Neno Hata Moja Kwenye Uzi Huu' Open Thread ⤵
Afya Yangu 💊 (@dr_simon01) 's Twitter Profile Photo

Upo kwenye basi la mikoani afu ukaona Pisi fulani ukamwelewa , ivi huwa mnatumia mbinu gani nyie ili kupata namba ake 😳😳😳

Jayreally47💊 (@_jayreally47) 's Twitter Profile Photo

GONORHEA OF GENITAL Hii huwa ni kiboko hasa iwe sugu! Nimeshuhudia mtu mzima akilia kama mtoto, wakati wa kukojoa.. TUWE MAKINI WAZEE 😃