Danieli Shuma🥇 (@danielishuma01) 's Twitter Profile
Danieli Shuma🥇

@danielishuma01

‼️I WAS BORN TO BE A LEADER AND LEADERS ARE NEVER WEAK ‼️ CHADEMA MEMBER.

ID: 1390753843483402242

calendar_today07-05-2021 19:42:29

71,71K Tweet

2,2K Takipçi

4,4K Takip Edilen

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA Chadema Tanzania) Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) waliofungua kesi ya madai namba 8323/2025 kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam dhidi ya Bodi ya

𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢 (@chahali) 's Twitter Profile Photo

Kuna helplessness flani inasikitisha kwa kweli. Yaani ni kama kondoo wanavyosukumwa kwenda zizini. Angalia uhuni wanaofanya SiSiEmu wakati huu, rushwa waziwazi, rafu kila kona, na sasa wanavalisha sare wanajeshi na askari wakajaze mikutano yao. Mmewaruhusu kufanya uhuni huu.

Necto Kitiga (@nectokitiga) 's Twitter Profile Photo

Mahakamani si tena mahali pakupata haki bali, Mahali watawala wanaamua kupindishia mambo (HAKI) kwa maelekezo kutoka magogoni.

Brenda Rupia Jonas (@brendarupia) 's Twitter Profile Photo

BREAKING NEWS: Mahakama Kuu yafuta Amri ya Msajili wa Vyama Vya Siasa ya Kuzuia Ruzuku ya Chadema na kutowatambua Katibu Mkuu, Manaibu wake na Wajumbe Watano wa Kamati Kuu waliothibitishwa Januari 22, 2025 baada ya Uchaguzi Mkuu wa ndani ya Chama.

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Martha,mm kukojoa kwenye kopo ndani ya Gari langu… HILUX 2021 - Tinted- nlionunua na Pesa zangu Cash. Unapoteza heshima kwangu?? Mbona wewe unajiuza mtandaoni na bado tunakuheshimu? Hadi nataka kuwa mteja wako…! Uainifanyie hivyo martha…

OG🤎 (@msafwa_og) 's Twitter Profile Photo

Cassian ameanza kutembea anasumbua balaa, utundu mwingi ni wakati sasa nimpeleke kwa anco zake Kitengo na Choppa😂😂

KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

Baba Wawili Mtu Akilewa Inakupa Wewe Uhalali Wakumbaka Sio? Kwahiyo MAMA Yako, DADA Yako, MKE Wako, MTOTO Wako Wakilewa Chakari Msaada Wanaotakiwa Kupewa Ni KUBAKWA Sio?

Hilda Newton (@hildanewton21) 's Twitter Profile Photo

"Walalamikaji (Said Issa Mohamed na wenzake) wameleta maombi ya kuomba nyaraka; 1. Mihtasari ya vikao vya Kamati Kuu kuanzia mwaka 2019 mpaka 2020 2. Mihtasari ya vikao vya Sekretarieti ya Taifa 3. Mihtasari ya vikao vya Sekretarieti ya Zanzibar 4. Mihtasari ya vikao vya Bodi

Taivina James (@thereal_taivina) 's Twitter Profile Photo

Huku Vitus Nkuna anaomba kurudi Chadema huku Anko Madeleka anataka kuongelea Hatma yake. Moshi unafuka huko kwenye Matawi😂😂😂

Huku Vitus Nkuna anaomba kurudi Chadema huku Anko Madeleka anataka kuongelea Hatma yake. Moshi unafuka huko kwenye Matawi😂😂😂