Dada Mkuu Initiative (@dadamkuu255) 's Twitter Profile
Dada Mkuu Initiative

@dadamkuu255

A community driven & female led NGO dedicated to empowering underserved adolescent&youth 👉🏾Leadership👉🏾Health-SRH&MentalHealth 👉🏾Economic resilience

ID: 1445328974293475334

linkhttps://www.youtube.com/channel/UCusaZm5F3HfN_dgjIVysxnQ calendar_today05-10-2021 10:04:30

99 Tweet

97 Takipçi

27 Takip Edilen

Dada Mkuu Initiative (@dadamkuu255) 's Twitter Profile Photo

Hedhi sio aibu. Hedhi sio uchafu. Hedhi ni afya. Lakini hadi leo, wasichana na wanawake wengi bado wananyanyapaliwa na kutengwa wakiwa hedhi. Ni wakati wa kuvunja kimya. Tuongee na Tuelimishine kwa pamoja. 🩸 #HedhiBilaKikwazo

Hedhi sio aibu. Hedhi sio uchafu. Hedhi ni afya. Lakini hadi leo, wasichana na wanawake wengi bado wananyanyapaliwa na kutengwa wakiwa hedhi.

Ni wakati wa kuvunja kimya. Tuongee na Tuelimishine kwa pamoja.

🩸 #HedhiBilaKikwazo