Coach Ansey (@coachansey) 's Twitter Profile
Coach Ansey

@coachansey

Digital Marketing Consultant & Epreneur | I Help Businesses Implement Winning Digital Strategies

ID: 730776326265802752

calendar_today12-05-2016 15:07:08

151 Tweet

873 Takipçi

235 Takip Edilen

Coach Ansey (@coachansey) 's Twitter Profile Photo

Lengo Namba MOJA la Kila Mfanyabiashara Online Ni Kupata WATEJA. Lakini, karibia asilimia 60% wanashindwa kufikia lengo hili, kwa sababu ya Kukosa TAARIFA Sahihi. Haya ni Mambo 5 Ya Kuzingatia ili Kuongeza NAFASI ya Kupata Wateja Online. 📜

Coach Ansey (@coachansey) 's Twitter Profile Photo

Funnel ni neno geni sana kwa wafanyabiashara wengi. Lakini kwa Lugha rahisi unaweza Kuita "Chuujio." Kazi yake kubwa ni kukusaidia kuwashawishi watu kununua Bidhaa yako. ✓ Kuanzia unapoanza Kufungua Ukurasa wako - Mpaka unapopata Mteja wako wa Kwanza.

Funnel ni neno geni sana kwa wafanyabiashara wengi. 

Lakini kwa Lugha rahisi unaweza Kuita "Chuujio."

Kazi yake kubwa ni kukusaidia kuwashawishi watu kununua Bidhaa yako.

✓ Kuanzia unapoanza Kufungua Ukurasa wako - Mpaka unapopata Mteja wako wa Kwanza.
Coach Ansey (@coachansey) 's Twitter Profile Photo

Ulikuwa ni Wakati Mzuri sana Kusherehekea Miaka 25 ya Clouds Media Katika Kuendelea Kutufungulia Dunia na Kuwa Tunachotaka. Congratulations Big Jo Joseph Kusaga na Team Yote ya CMG🏆 #coachansey

Ulikuwa ni Wakati Mzuri sana Kusherehekea Miaka 25 ya <a href="/CloudsMediaLive/">Clouds Media</a> Katika Kuendelea Kutufungulia Dunia na Kuwa Tunachotaka.

Congratulations Big Jo <a href="/JosephKusaga/">Joseph Kusaga</a> na Team Yote ya CMG🏆

#coachansey
Lolo☘ (@phentykiria) 's Twitter Profile Photo

Karibu Floki Shelves kwa magauni ya stara Mzigo mpya kuna nguo za kanisani nyingi sana Instagram; FLOKI SHELVES call/whatsApp; 0629068983