Citizen TV Kenya
@citizentvkenya
Kenya's Premier TV Station. Breaking News / Entertainment / Your Favorite Local TV Shows. Follow us on instagram.com/citizentvkenya
ID: 70394965
https://www.citizen.digital/ 31-08-2009 13:42:16
809,809K Tweet
6,3M Takipçi
157 Takip Edilen
Another Monkey pox case Health ministry confirms a fifth case of Mpox in Mombasa Cases reported in Thika, Nakuru, Voi, Mombasa and Nairobi #CitizenBriefs Olive Burrows
Typhoon in China Super typhoon Yagi makes landfall in China 400,000 people evacuated in Hainan province #CitizenBriefs Olive Burrows
Moto wauwa 18 shuleni Nyeri Wanafunzi 18 wamefariki kwenye moto shuleni Wanafunzi wengine 70 hawajulikani waliko Wanafunzi 86 wamethibitishwa kuwa salama Wanafunzi 27 wanapata matibabu hospitalini #NipasheWikendi Mashirima Kapombe
Rambirambi za viongozi Rais Ruto aongoza taifa kuomboleza wanafunzi 18 Raila, Uhuru wasikitikia mkasa wa moto Hillside Endarasha Viongozi wanataka uchunguzi wa haraka kufanyika #NipasheWikendi Mashirima Kapombe
Majonzi ya wazazi Nyeri Wazazi wapiga kambi nje shule ya Hillside Endarasha Wazazi wanasubiri kujua hatma ya wana wao Wazazi wanalalamika hawajapata ripoti kamili Wazazi wanashinikiza uchunguzi wa haraka #NipasheWikendi Mashirima Kapombe
Uchunguzi wa mkasa wa moto Maafisa wa upelelezi wanachunguza chanzo cha moto Mitambo ya shule hiyo inatumia nishati ya jua Wapelelezi kuwahoji mmiliki wa shule na wafanyikazi DCI na idara ya kuchunguza mauaji wanaongoza upelelezi #NipasheWikendi Mashirima Kapombe
Usalama wa wanafunzi shuleni Wadau katika sekta ya elimu waikosoa serikali Wanasema mikakati ya usalama shuleni imepuuzwa Vyama vya walimu vinataka ukaguzi wa shule zote Hofu imeibuliwa ya mazingira hatari kwa wanafunzi #NipasheWikendi Mashirima Kapombe
Moto kila mara shuleni Mkasa wa moto Hillside Endarasha waibua maswali Usalama wa watoto shuleni umetiliwa shaka Mafunzo baada ya mikasa mengine yamepuuzwa #NipasheWikendi Mashirima Kapombe
Moto wauwa 18 shuleni Nyeri Wanafunzi 18 wamefariki kwenye moto shuleni Wanafunzi wengine 70 hawajulikani waliko Wanafunzi 86 wamethibitishwa kuwa salama Wanafunzi 27 wanapata matibabu hospitalini #NipasheWikendi Mashirima Kapombe
Mpox yatua Mombasa Kisa cha tano cha Mpox chathibitishwa nchini Mwanamke mwenye umri wa miaka 29 aambukizwa Mwanamke huyo ni mkewe mgonjwa mwingine Mgonjwa huyo ametengwa hospitalini Mombasa #NipasheWikendi Mashirima Kapombe
Longalonga Uchanganuzi wa msamiati wa lugha ya Kiswahili Kauli za Nuhu Zubeir Bakari na Munene Nyaga #NipasheWikendi Mashirima Kapombe
Shairi la Bakari Kibwagizo: Yarabi tuhepushie, hii mikasa moto #NipasheWikendi Mashirima Kapombe