C H E P E (@chepezi) 's Twitter Profile
C H E P E

@chepezi

Mtume ﷺ Alikuwa akisema: Walio bora miongoni mwenu ni wale wenye maadili na tabia njema.

ID: 4817820491

calendar_today16-01-2016 11:52:08

38,38K Tweet

18,18K Takipçi

1,1K Takip Edilen

C H E P E (@chepezi) 's Twitter Profile Photo

Kuna wajinga wanauchukia Usalafi sababu hawaulewi. Wao hujua Usalafi ni wa Wasaudia, na kwa kuwa wanaichukia Saudia (kitawala) wanachukia na Usalafi pia.

al-maghribī (@abulhusayn01) 's Twitter Profile Photo

[Tuongeze Jitihada Ya Matendo Katika 10 Hili La Mwisho] Ametaja Al-Imaam Muslim, Katika Swahih Yake Hadithi Ya Mama Wa Waumin 'Aaishah [Allah Amridhie], Akisema; كَانَ رَسُولُ اللَّهِ ﷺ يَجْتَهِدُ فِي رَمضانَ مَالا يَجْتَهِدُ في غَيْرِهِ، وَفِي العَشْرِ الأَوَاخِرِ منْه مَالا