Baba P Experience (@babapforreal) 's Twitter Profile
Baba P Experience

@babapforreal

-I'm a verifiedTekton
-Father
-Teacher
-Poet
-MINOR SETBACK MAJOR COMEBACK THAT'S MY FAVORITE
-Ukombozi ni maamuzi
-Political neutrality #EXPERIENCE the Album👇

ID: 1691410738823176193

linkhttps://audiomack.com/babapexperience-/album/baba-p-experience?share-user-id=104215206 calendar_today15-08-2023 11:25:36

4,4K Tweet

175 Takipçi

102 Takip Edilen

Innocent (@innocenzo__) 's Twitter Profile Photo

Oya Baba P Experience 🙌. Kwa hizi content, flow, beats na delivery; una deserve kuwaponda rappers wepesi. Salute sana mzee, umenishangaza🫡. Magokoro , ukipata muda mzingatie huyu jamaa, hii album imeshiba.

Oya <a href="/BabaPforreal/">Baba P Experience</a> 🙌.

Kwa hizi content, flow, beats na delivery; una deserve kuwaponda rappers wepesi.

Salute sana mzee, umenishangaza🫡.

<a href="/fivara_/">Magokoro</a> , ukipata muda mzingatie huyu jamaa, hii album imeshiba.
Innocent (@innocenzo__) 's Twitter Profile Photo

Baba P Experience , producer wako ni nani? Kazi iko clean sana hii. Halafu naona huchagui aina ya rap beats😀- trap unachapa, drill unachapa, boom bap unachapa.

Magokoro (@fivara_) 's Twitter Profile Photo

Innocent Baba P Experience Ana diss yake kawadiss ndugu zangu ile sijapenda 😃 Namzingatia sema linapokuja suala la Joh na Weusi ndugu yangu huwa biased sana.

Gaddafi (@gaddafiescobar) 's Twitter Profile Photo

Baba P Experience Kwenye album yako umeua sana family yangu uneimbaa uhalisia wetu kazi nnzuri na shukran kwa kila aliye support kazii hii kwa namna moja au nyengine