PROPHET ELISHA (@asantetrum37479) 's Twitter Profile
PROPHET ELISHA

@asantetrum37479

Prophet,
Businessmen

ID: 1683530914150727680

calendar_today24-07-2023 17:34:24

43 Tweet

358 Takipçi

7,7K Takip Edilen

PROPHET ELISHA (@asantetrum37479) 's Twitter Profile Photo

AHADI ZA MUNGU LUKA 18:7, 8 7 Na Mungu, je! Hatawapatia haki wateule wake wanaomlilia mchana na usiku, naye ni mvumilivu kwao? 8 Nawaambia, atawapatia haki upesi; walakini, atakapokuja Mwana wa Adamu, je! Ataiona imani duniani?

PROPHET ELISHA (@asantetrum37479) 's Twitter Profile Photo

AHADI ZA MUNGU MATENDO 18:10 10 kwa kuwa mimi ni pamoja nawe, wala hapana mtu atakayekushambulia ili kukudhuru; kwa maana mimi nina watu wengi katika mji huu.

PROPHET ELISHA (@asantetrum37479) 's Twitter Profile Photo

AHADI ZA MUNGU ZABURI 31:23 23 Mpendeni Bwana, Ninyi nyote mlio watauwa wake. Bwana huwahifadhi waaminifu, Humlipa atendaye kiburi malipo tele.

PROPHET ELISHA (@asantetrum37479) 's Twitter Profile Photo

ikiwa watatenda maovu mbele za macho yangu, wasiitii sauti yangu, basi nitaghairi, nisitende mema yale niliyoazimia kuwatendea. Yeremia 18:10 (Biblia Takatifu)

PROPHET ELISHA (@asantetrum37479) 's Twitter Profile Photo

Biblia Takatifu. Mathayo 7:12 [12]Basi yo yote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii.