Adrian Nzamba
@adriannzamba
Rafiki | Talk to me about Human Centre Designs | Out here creating product-market fit for TAYARI
ID: 390654288
http://www.tayari.co.tz 14-10-2011 09:48:19
5,5K Tweet
922 Takipçi
656 Takip Edilen
Hapo ni Contenna Kitchen, mambo ya tayari_experience haya na wateja wao
2/100 Nimeanza safari ya kuongeza wateja wa tayari_experience nikimaanisha migahawa kwa style ya kujipa siku 100 ambazo nitakuwa natembelea migahawa na kuongea nao kuhusu TAYARI lengo ni kuongeza migahawa, Kukuza database na kujifunza nini TAYARI inaweza fanya zaidi
I love to see pictures showing tayari_experience 👏👏👏
Breaking: Dr Faustine Engelbert Ndugulile, proposed by Tanzania🇹🇿, has just been nominated as the next World Health Organization (WHO) Regional Director for Africa. Member States voted in a closed session today at the 74th session of the WHO Regional Committee for Africa. afro.who.int/news/dr-fausti…
Leo tuko hapa kushuhidia uzinduzi wa sera ya Elimu na mafunzo ya mwaka 2014, toleo la 2023 #SeraYaElimu2014Toleo2023 Wizara ya Elimu Tanzania
Sera ya awali iliweka kikomo cha elimu ya lazima kuwa miaka 7 ambapo mtoto akimaliza elimu akiwa na miaka 12-13. Sera Mpya tumeongeza umri lazima kuwa 10 Ili mtoto apate na ujuzi zaidi utakaomuwezesha kuweza kujiajiri ama kuajiriwa akimaliza elimu #SeraMpya Wizara ya Elimu Tanzania
"Serikali inakwenda kupitia stahiki za walimu Ili kuziboresha ziweze kuendana na nyakati za sasa" Wizara ya Elimu Tanzania #ElimuNaUjuziNdioMpangoMzima